Mwiko wa kupikia

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,181
409
Wengi mnaweza kunishangaa labda hapa sio mahali pake au laa,
kiukweli toka nimeanza darasa la kwanza mpaka kuja kumaliza darasa la 14 sijawah kupata maana halisi au tafsiri sahihi ya MWIKO WAKUPIKIA kwa kiingereza unaitwaje,
samahani wapana wakufikiri, ila naomba msaada wenu kwa mwenye uelewa wa hilo.,

Nawasilisha
 
Mwiko....wooden spoon....kijiko cha mti....spoon made out of wood....kijiko kilichotengenezwa kwa mti.
 
Mwiko....wooden spoon....kijiko cha mti....spoon made out of wood....kijiko kilichotengenezwa kwa mti.
<br />
<br />
Hehehee nashukuru Lizzy nimepata na nyingine, spoon made out of wood?..
 
kwa vile mwiko ni asili ya kwetu basi na uitwe mwiko hivo hivo kama ilivo ndafu na waingereza watalikubali hivo hivo kama sisi tunavotohoa ya kwao, akikuuliza asie mswahili we mwambie ni mwiko na sisi tuenzi vya kwetu bwana alahh, sasa unaumiza kichwa kwa.
 
Asili ya kwetu kwani ulaya hamna miiko?!Au walituiga!?
 
Back
Top Bottom