Mwijaku mbona kimya uko wapi?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Kuna Msanii anajiita Mwijaku amekuwa anaonekana sana Instagram, vipi mbona toka itokee skendo ya Menina ya kusambaa kwa picha za utupu haonekani? Nini kimemsibu Msanii Mwijaku?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom