Brigedia Chan-ocha
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,353
- 2,846
Waziri wa Viwanda Charles Mwijage kweli nimeamini kwa "Sound" alizonazo, jamaa anapiga sound hata pasipostahili sound, mwanzoni nilidhani kuwa aliwahi kuwa mkuu wa propaganda sehemu yoyote kumbe hakuna...!!
Mh. Waziri Nchi inahitaji viwanda siyo sound, fuata ushauri wa Mwenyekiti wa wafanyabiashara alioutoe mwaka jana kuwa, "Serikali ni lazima iite mfanyabiashara mmoja mmoja, au Tajiri mmoja-mmoja na kumwambia kuwa, Serikali inahitaji kiwanda hiki, mfano, kiwanda cha sukari au Mabati, hivyo serikali inakuomba uwekeze huko, tutakupa ardhi bure, machine za kiwanda chako zitapunguziwa kodi zikiingia nchini, Barabara, umeme na maji tunakupelekea huko kwenye kiwanda, akasema kuwa, vile vile, hizi njiti za kutolea mabaki kwenye meno, hii ahiitaji mtaji mkubwa sana, inafaa, serikali imuite mfanyabiashara imwambie hivo hivo, kuwa serikali inahitaji kiwanda cha vijiti vya kutolea mabaki kwenye meno, tunaomba uwekeze kwenye kiwanda hicho tutakupa nafuu Fulani na Fulani, sisi serikali tunahitaji Ajira na kodi yetu basi".....
Charles Mwijage hiyo ndiyo sound unayotakiwa kuifanya kwa wawekezaji wa ndani, hao wa nje waachie mabalozi ndiyo wawalete, wewe angaika na hawa matajiri wa ndani siyo kutoa takwimu za viwanda elfu 58 nchi nzima eti kwa mwaka mmoja, unaongelea viwanda gani? ina maana karakana nayo ni kiwanda? mtu anasehemu yake ya kutengenezea baiskeli nacho ni kiwanda hiki? huu usanii achana nao.
Tunataka viwanda kwa maana ya viwanda.