Mwigulu: Watanzania msikimbie nchi tutarekebisha makosa

IMG_0083.JPG
 
Naona swala la tozo wamelipotezea kidizaini kwani makato yanaendelea, halafu watu wakija na proposal ya kukamilisha swala la katiba mpya wanapigwa virungu na kupewa kesi ya ugaidi....
 
Rekebisheni yote, na katiba mpya muipitishe. acheni maneno mengi. Tumechoka tumechoka tumechoka, munachokifanya sio sawa, kumbukeni mtakutana na Mola wenu mtaulizwa mriyoyafanya.
 
Unatumiwa na shetani. Mungu hawezi kuwa na furaha kiumbe wake anapoteswa kwa kusingiziwa. Hiyo yako ni ya kishetani. Jiulize mara mbili sababu ya furaha yako hiyo.
Una uhakika gani kama amesingiziwa, kwa sababu ni kiongozi wa chama pinzani ndo amekuwa malaika kwamba hawezi kufanya makosa?!!

Mtu anaweza kutumia kichaka cha siasa kujificha na kufanya Mambo yake ya ajabu, akishitakiwa anasingizia amebambikiwa kesi kwa sababu ni mpizani. Acheni sheria ifate mkondo wake Kama mnavyoshangilia kwa Sabaya!!
 
Back
Top Bottom