Mohamed Mbelwa
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 507
- 272
Wale vijana 500 waliopewa mafunzo ya kijeshi mbeya umewaacha solemba,hawana kazi za kufanya. Umetuachia shida mbeya yetu,ilitulia sasa tutaanza kupigwa nondo, mbeya tulisha sahau suala la nondo baada ya mbunge wetu (sugu) kuwa mtetezi mkubwa wa machinga