MWIGULU:umetuletea wapiga nondo Mbeya

Mohamed Mbelwa

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
507
272
Wale vijana 500 waliopewa mafunzo ya kijeshi mbeya umewaacha solemba,hawana kazi za kufanya. Umetuachia shida mbeya yetu,ilitulia sasa tutaanza kupigwa nondo, mbeya tulisha sahau suala la nondo baada ya mbunge wetu (sugu) kuwa mtetezi mkubwa wa machinga
 
Tuma picha ya mtu alie pigwa Nondo!
 
Mwigulu anapaswa kufa hafai kwenye Tanzania hii ni shetani, kumbe alikuwa anafundisha vijana wa UVCCM kupiga nondo wananchi
 
Kama Mwigulu Lameck Mchemba atakufa kabla yangu mie siku hiyo hata sina hela basi nitaweka hata nyumba yangu bondi ili tu nisherehekee hata kwa kakrete kamoja ka Kilimanjaro Primium na kuchoma kiti moto kwa mbalii.na mziki mkubwa pembeni ni hilo tu.R.I.P Mwigulu Lameck Mchemba.
 
Mwigulu anapaswa kufa hafai kwenye Tanzania hii ni shetani, kumbe alikuwa anafundisha vijana wa UVCCM kupiga nondo wananchi

Tena anapaswa afe kifo kibaya risasi,bomu,sumu etc
 
Siku mwigulu uk rip watanzania tutachekaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mtatangulia ninyi
Kwani mlimuanza Nape kumuombea apotee sasa imekuja kijiko ya Moto kuizima hamuwezi mnamuombea AFE ili muendeleze nini? MBONA HUYO NDIO SAIZI YENU ukipiga naye anarudisha ndio Siasa za DOT.COM
 
uanze kufungiwa wewe kwanza mngese we!

Tatizo Siasa hamzijui, mkizidiwa tu mnaanza mitusi, ndio Demokrasia gani?
Kelele zote kumbe Kata 6 tu
Sasa Nondo mmepigwa lini? au ni mabao ya hizo Kata 16 mnamuombea Afe Kamanda Mwigulu?
 
Mimi simuombea mabaya Mwigulu, namuombea awe na hekima aache watanzania waishi kwa amanni. Zanzibar CCM mwaka 2005 pia ilitengeneza hawa majanjaweed walisumbua watu sana pale Unguja. Leo hii imekua bara baada ya kuona kuwa kwenye fair play ground CCM haitoki na ushindi
 
Back
Top Bottom