Vilevile, ameeleza kuwa sio jambo la kiungwana kusema Rais anakopa akisisitiza Marais hawakopi bali ni Serikali akisema "Hilo si jambo la Familia, ni la Nchi" basi kama ni hivo hata kwenye fedha za maendeleo wasiwe wanasema rais katoa waseme serikali imetoa.
 
Back
Top Bottom