Serikali ya CCM iko imara kwa ajili ya maslahi ya WATANZANIA!!!

Serikali hii imara imezisikia kelele zetu walalahoi wa nchi hii adhimu!

Kongole kwa mh.SSH na serikali yetu ya CCM👊👍👍

#KaziIendelee
 
Na watu tulishaanza kutafta kadi za bank hayo makato Yao yalikuwa wizi uliokubuhu aisee.
Kwa muda mrefu nlikuwa natumia simu kufanya miamala ya fedha. Kwa ujambazi na uzandiki huu wa Mwigulu Nchemba nairudia ATM yangu. Eti Mwigulu anabwabwaja mate bungeni kuwa anawahurumia Watanzania!.

Angeonesha huruma hiyo kwa kutoa sehemu ya Mali yake kusaidia watanzania na sio kwa uzandiki na unafiki uliokubuhu. Huyo mnafiki Mwigulu ndye aliyedanganya bungeni kuwa serikali isitoe taarifa za wahanga wa COVID- 19 ndpo akazawadiwa wizara ya sheria na katiba ambayo haiendani na fani. Haya yote yanatokea kwa sababu ya udaktari wa kununua.

Mwigulu achia dhamana badala ya ngonjera zako kuwa mama amesikia kilio chetu!. Hivi watanzania tuna kilio gani Mwigulu!.
 
Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba...

Sawa ni jambo jema ,kilichobaki Value retention fee ya loan board pamoja na penalty viondoshwe kabisa bila masharti
 
Kwa muda mrefu nlikuwa natumia simu kufanya miamala ya fedha. Kwa ujambazi na uzandiki huu wa Mwigulu Nchemba nairudia ATM yangu. Eti Mwigulu anabwabwaja mate bungeni kuwa anawahurumia Watanzania!...
Mkuu Dr.Mwigulu hakuununua usomi wake.....mbona CREDENTIALS zake ziko wazi kaka?

Naelewa machungu uliyonayo mkuu...KUBWA ni kuwa TOZO hiyo kubwa imepeperushwa na kipenzi chetu mh.Rais SSH!

Tuendelee kumuamini mh.Rais ili azidi kusimamia kiapo chake kwetu!
 
Sawa ni jambo jema ,kilichobaki Value retention fee ya loan board pamoja na penalty viondoshwe kabisa bila masharti
Mkuu mh.Rais ameanza vyema kutuondolea ile 6%!!!

Tuendako ni imani yetu kubwa kuwa mengi atayerekebisha!!

Kongole kwake kipenzi chetu mh.Rais SSH!!
 
Yaani alie leta bajeti mbovu ndie huyo huyo anasema anaenda kwenye kikao na Waziri mkuu?? Au kuna mwingine?
 
Mkuu Dr.Mwigulu hakuununua usomi wake.....mbona CREDENTIALS zake ziko wazi kaka?!!!

Naelewa machungu uliyonayo mkuu...KUBWA ni kuwa TOZO hiyo kubwa imepeperushwa na kipenzi chetu mh.Rais SSH!

Tuendelee kumuamini mh.Rais ili azidi kusimamia kiapo chake kwetu!!
More philosophical and literally critical.
 
Back
Top Bottom