Mwigulu, simbachawene, na kigwangwala watumbua kijipu

zamtaya_pr

Senior Member
Jun 29, 2015
140
45
Jana usiku mwigulu alikua vingunguti na kuahidi kurudi leo asubuhi.
Kwa taarifa nilizo nazo ameambatana na na waziri wa tamisemi-simbachawene, na naibu waziri wa afya -kigwangwala.
mwenye taarifa kamili za kilichojiri huko tafadhari atujuze.
 
Back
Top Bottom