Mwigulu: Sikusema aliyemtishia Nape si Askari bali nilisema si Polisi; ni askari wa Idara nyingine

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
ALIYEMTISHIA NAPE KWA BASTOLA NI ASKARI - MWIGULU.

Waziri wa zamani wa mambo ya ndani aliyefurushwa, Bw.Mwigulu Nchemba amesema hajawahi kusema kuwa mtu aliyemtishia Nape Nnauye kwa basola sio askari. Mwigulu amedai alinukuliwa vibaya na vyombo vya habari, na kudai kwamba alichosema yeye ni kuwa mtu huyo si polisi.

_
"Sikuwahi kusema sio askari, nilisema sio polisi, nilimwelekeza IGP kuchukua hatua aliniambia yule jamaa sio polisi. Inawezekana ni askari wa idara zingine lakini si polisi. Kuhusu kuchukuliwa hatua kuna taratibu. Sio kila hatua inatangazwa kwenye vyombo vya habari"

FB_IMG_1549886934558.jpg

Rejea: Mwigulu Nchemba: Aliyemtisha Nape kwa bastola sio Polisi. Uchunguzi wa Lissu kushambuliwa unaendelea, tutatoa taarifa - JamiiForums
 
Nape mbona alisema anamjua yule mtu, sasa aulizwe Nape..!! Sbb Nape alijibu muda kuwa anamjua..!!
 
ALIYEMTISHIA NAPE KWA BASTOLA NI ASKARI - MWIGULU.
Na G Malisa
Waziri wa zamani wa mambo ya ndani aliyefurushwa, Bw.Mwigulu Nchemba amesema hajawahi kusema kuwa mtu aliyemtishia Nape Nnauye kwa basola sio askari. Mwigulu amedai alinukuliwa vibaya na vyombo vya habari, na kudai kwamba alichosema yeye ni kuwa mtu huyo si polisi.
_
"Sikuwahi kusema sio askari, nilisema sio polisi, nilimwelekeza IGP kuchukua hatua aliniambia yule jamaa sio polisi. Inawezekana ni askari wa idara zingine lakini si polisi. Kuhusu kuchukuliwa hatua kuna taratibu. Sio kila hatua inatangazwa kwenye vyombo vya habari"View attachment 1019775
huyu jamaa hata afanyeje.....this time atanyooshwa hadi atembelee tumbo shubamit!!
 
Wachache watamwelewa - lazima ifanyike hivyo kwa kuwa ilikuwa kulinda maisha ya nape mwenyewe
 
Imekuwaje akalazimika kusema? Kuwa siyo Askari polisi, bali ni askari...?
 
ALIYEMTISHIA NAPE KWA BASTOLA NI ASKARI - MWIGULU.

Waziri wa zamani wa mambo ya ndani aliyefurushwa, Bw.Mwigulu Nchemba amesema hajawahi kusema kuwa mtu aliyemtishia Nape Nnauye kwa basola sio askari. Mwigulu amedai alinukuliwa vibaya na vyombo vya habari, na kudai kwamba alichosema yeye ni kuwa mtu huyo si polisi.

_
"Sikuwahi kusema sio askari, nilisema sio polisi, nilimwelekeza IGP kuchukua hatua aliniambia yule jamaa sio polisi. Inawezekana ni askari wa idara zingine lakini si polisi. Kuhusu kuchukuliwa hatua kuna taratibu. Sio kila hatua inatangazwa kwenye vyombo vya habari"View attachment 1019775
Wanasiasa bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom