Mwendazake tumuache tuu aendee, najiuliza bajeti angeiandika Mpango, nna uhakika angeandika serikali haina deni bali tunawadai mabeberu!😂😂😂Deni limefikaje hapo,wakati mwendazake alikuwa anasema,
Sisi ni matajiri ,miradi yote inatekelezwa kwa fedha za ndani,hatujipi kwa MABEBERU.
Poa mkuu!Typing error
Unajichimbia chini kama ule mhimili mwendazake alikuwa anatuelezea wakati anamjibu Pascal Mayalla 🤣🐒🤸Yuko sahihi, unakua kwenda chini
Labda aligopa gharama za kuwalipa police watembee na funguoR.I.P Magufuli
Ulikataa lock down kwa watanzania licha ya chadema kukimbia bunge na kwenda kukaa lockdown.
Sasa uchumi umekua.
Mwenda zake mlimuona mpuuziUnashukaga inategemea tunataka nini na tunaongea na nani ?
Mfano, Wanasema uchumi wetu ni imara na unakuwa kwa kasi kwasababu hatujaathirika na CORONA lakini Mabeberu wakitoa package ya mkopo nafuu kwaajili ya nchi zilizoathirika na CORONA na sisi tunataka
Na hapo atapongezwa na mbumbu wa CCM balaaHuyu Bwana huo uchumi aliusomea shule ya kata nn.Uchumi unakuaje huku deni la taifa limekua tilioni 70.
Zama za kupika data zilipita