Mwigulu Nchemba: TRA inatimiza wajibu wake vizuri, wafanyabiashara walikuwa hawalipi kodi ipasavyo!

Nalifikiria kwa makini,
Tanzania huwa hatuko na ujasiri wa kuhama, tunaona waethiopia wengi sana wakihamia South Afrika.
Tutajaribu nchi za karibu, Zambia Malawi na Kenya.
Wafanyabiashara wengi hasa wakubwa wamehamishia biashara zao Nchi Jirani hata pesa zao nyingi hawaziweki kwenye mabenk ya Tanzania ambayo hayapo huru yanaingiliwa na TRA bila kikwazo, wafanyabiashara wengi hawana imani na mabenk ya Tanzania sasa
 
Iko kuanzisha biashara inalazimika uwe na tin number kutoka tra. Sasa huyu mchora nawe mkoa mzima wa singida akiomba urais akakosa, awambie tra utoe utaratibu wa wazi nini mfanyabiashara anatakiwa kufanya ili afunge biashara yake .ndio utakapoona Hali halisi. Pili wewe inaisha kwa kula siasa, biashara hujawahi kufanya.
Mwigulu ni mnufaika wa uonevu unyanyasaji wa TRA kwa wafanyabiashara ndiyo maana kajitoa fahamu kaamua kutetea vitu vya uonevu mkubwa
 
Matumizi ya kodi ndiyo yanaleta ukakasi wa kulipa kodi,
Unalipa kodi, hospital dawa hakuna, Barabara hapitiki, hudama mbalimbali zinazotolewa na serikali ni mbovu, vipaumbele vya serikali si vya wananchi, mi uwo ujasiri WA kudai risiti nautoa wapi?
Matumizi ni kujenga chato Airport, mbuga mpya ya wanyama, mwigulu kufufua Timu yake ya Singida UTD kununua vx kwa viongozi wote na mengineyo mengi ya kuuzi zaidi
 
Kama Kigogo 2014 ambavyo huwa anasema hawa kina Mwigulu & co. ni walamba ......za mek..., yaani wanajitoa ufahamu.
 
Waswaga ng'ombe leo ndio wasemaji wa kukussnya revenue. Wanadhani kodi ni sawa na kundi la kondoo.
Mwingulu ana wizara yake badala aboreshe mishahara ya watumishi wa mahakama yupo busy kutetea TRA na uonevu wao wa kufunga biashara, Account za wafanyabiashara kienyeji kwa njia haramu za kishetani
 
We ngiri huna ujanja wa kuvaa kiatu cha 90,000. Hakuna kiatu cha kushonesha cha 90,000, na ww viatu vyako vyote ni vya kushonesha kwa wapare wa vibarazani.
Jitoe akili tu! Mimi sio 90 elfu peke yake hata nikinunua kondom nadai risiti utanieleza nn we mama
 
Swadakta Mhe. Waziri, kuna watu wameumbiwa kulalamika tuuuu! Kama unajua wajibu wako TASK FORCE itadunda kwakua Kila watakapoweka mitego watakuta uko vizuri.

Ila wale wafanyabiashara janja janja, unanunua Mali ya milioni 30 unaandikiwa Risiti ya milioni Moja wacha wafungiwe tu maana namna hakuna.

Nimewahi kuleteana Sana shida na Cashier wa duka Moja mtaa wa Tandamti ameniuzia kiatu cha elfu 90 halafu namdai risiti ananiambia mashine mbovu. Nikamwambia basi nirudishie fedha yangu... Ghafla mashine ikapona na nikapewa Risiti.

Hawa ndio watu Nape anawatetea yaani bureee kabisa. Mabarabara, Mishahara, Madawa vitanunuliwa kwa fedha toka wapi Sasa?
Umewahi kumiliki mashine ya efd? Au biashara yako tu yeyote?

Manake kama huna biashara nyamaza tu
 
Huyo jamaa anachofanya ni kupalilia kibarua chake,ndio mana kila inshu lazima aidandie na kuikingia kifua serikali
 
Waziri wa katiba na sheria Dr Mwigullu Nchemba amewajibu wabunge wa CCM wanaoilalamikia TRA kwamba taasisi hiyo inatimiza majukumu yake kwa mujibu wa sheria.

Mwigullu Nchemba amesema katika serikali iliyopita wakati akiwa Naibu waziri wa fedha uchumi wetu uliendeshwa kwa kodi za watumishi wa umma kwani wafanyabiashara hasa wakubwa walikuwa hawalipi kodi kabisa.
Wafanyabiashara walikuwa wanakimbilia bodi ya rufani za kodi kujificha lakini awamu hii mambo ya konakona hayapo tena, amesema Mwigullu.

Ikumbukwe kuwa wabunge wa CCM wakiongozwa na Nape Nnauye na Joseph Musukuma walidai kuwa TRA inawaonea wafanyabiashara kwa kutumia task force badala ya wataalamu wa kodi.

Chanzo: TBC

Maendeleo hayana vyama!
Mwigilu amejifunza baada yakutumbuliwa wakati ule akiwa mambo ya ndani,hakuna namna ili yasimkute tena lazima asifu na kuabudu.
 
Back
Top Bottom