Mwigulu nchemba: The return of a new daudi balali ? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwigulu nchemba: The return of a new daudi balali ?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by makoye2009, Jun 20, 2012.

 1. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Nimesikia habari za Bwana Mwigulu Nchemba jinsi alivyosimama na kutetea Bajeti ya kipuuzi ya Serikali ya CCM huku akiiponda na kuitukana Bajeti Mbadala ya Wapinzani. Mwigulu Nchema alitamba na kusema Bajeti ya Wapinzani ni takataka na akafikia mahali pa kukitupa chini kitabu cha Bajeti ya Upinzani akidai kuwa Freeman Mbowe anawadanganya Watanzania!

  Bwana Mwigulu Nchemba akiongea kwa mipasho kama anayoitumia kwenye Kampeni zake za CCM alitamba kuwa yeye ni msomi na mchumi wa Daraja la 1 toka BOT kwa hiyo anajua sana Uchumi na kwa maana hiyo anaijua Bajeti ya Serikali na hasa Bajeti ya CCM.

  Mwigulu Nchemba kama vile aliyepagawa na mapepo aliendelea kupasha mipasho yake kwamba Wapinzani wameshindwa kuelewa kati ya Matumizi ya Kawaida na Matumizi ya Maendeleo. Kwamba 30% iliyotengwa kwa Matumizi ya Maendeleo siyo kweli maana inazidi hizo 30%! Akaendelea kumwaga radhi kuwa katika 70% ya Matumizi kuna pesa za kusomesha Wanafunzi katika Vyuo Vikuu ni sehemu ya fedha ya Maendeleo siyo matumizi maana ni uwekezaji katika Raslimali watu!


  Haya ni maelezo ya Mwigulu Nchemba,Mchumi Daraja I(1ST CLASS) kutoka BOT. Kijana aliyepikwa na kuiva kisawasawa na aliyekuwa Gavana wa BOT Daudi Balali(RIP?) kwa utaalamu wa KUIBA PESA ZA EPA. Nchemba akiwa kama FISADI MZOEFU toka BOT anajaribu kuwapotosha Watanzania kwa hila zilezile za ki-EPA kuwa kuna PESA iko kwenye MATUMIZI lakini ni ya MAENDELEO!!??Hapa Nchemba anazuga tu na anajua kuwa hawezi kueleweka kwa watu makini na Watanzania wote wanaojua tofauti ya kati ya Fedha ya Matumizi na ya Maendeleo. Kama anayosema yana ukweli basi aseme kuwa ile 70% ya matumizi ni fedha ya MAENDELEO. Maana hata fedha iliyotengwa kwa ajili ya CHAI NA VITAFUNWA kwenye Wizara ili kushibisha matumbo ya Wafanyakazi ni maendeleo maana ni kuwekeza kwenye matumbo ya Raslimali watu. Fedha iliyotengwa kununulia MASHANGINGI ya Serikali nayo ni maendeleo. Kwa hiyo basi kwa maelezo ya huyu MWIGULU NCHEMBA MCHUMI CLASS 1, BAJETI YOTE 2012/13 NI YA MAENDELEO!!!!!!!!!!!

  Hapo hapo kuna Mibunge ya CCM imeshangilia na kumtunza huyu kwa pesa na kila aina ya bashasha. Kwa Wabunge wa CCM huyu ni DAUDI BALALI mpya anayeibukia maana ndiye anayetengeneza dili za ULAJI ZA CCM na kuwatafutia CCM PESA ZA KAMPENI KWA CHAGUZI ZINAZOKUJA. Kwangu mimi NCHEMBA ni sawa na kibaka tu. Tunajua na tumesikia KASHFA zake kuhusu UZINZI MKUBWA anaofanya na wake za watu na kwamba aliyefumaniwa na mke wa mtu huko Igunga wakti wa kampeni za Ubunge 2011. Hakika ni huzuni na inasikitisha. Nimalize kwa kuunga mkono tamko la Mhe. John Mnyika kwa kusema kwamba kweli tumefika hapa tulipo kwasababu ya UPUUZI WA CCM!

  Nawasilisha.
   
 2. a

  afwe JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 4,087
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Tusimpe umaarufu asiostahili
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mtu aliyekosa hoja za msingi mara zote huwa na jazba sana!
   
 4. KirilOriginal

  KirilOriginal JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 13, 2012
  Messages: 1,923
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Kwa nini huyu shetani Mwigulu kuitukana bajeti ya upinzani na kuitupa? Hii si bajeti ya Zito wala Mbowe ni bajeti ya watanzania ametudharau. Na kumwita Mbowe mwenyekiti wa disco na Lisu mwanasheria wa wachawi ni tusi kubwa, na je mwenyekiti wa ccm sisi tumwite mkuu wa machangudoa? Mbona mnatafuta balaa?
   
 5. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Kaka edit post yako hapo juu umeandika nchema huyu ni nichemba ya mavi na sio nchema kaka hili ni bogas mamluki nipo radhi nipigwe BAN kuliko kumjadili huyu ***nge ninaumia kuona watu wanaojiita wasomi wa daraja la kwanza wanasifia miupuuzi kama huyu mnyaturu
   
 6. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,711
  Likes Received: 12,761
  Trophy Points: 280
  Yan nchemba ni kichwa maji sana nimemuona anaongea utafikiri yeye hakutukana bungeni. Nilishangaa sana, yan huyu ni mchumi wa kudesa hata leo asubuhi nilishuhudia.

  Nahaya ni matunda ya dhaifu kikwete kuwalea watu kama hawa na wakina lowasa
   
 7. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Magumegume matupu hayo
   
 8. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,190
  Likes Received: 1,539
  Trophy Points: 280
  **Hili la kutupa Kitabu cha Bajeti hili! hili..ndilo mimi ahhh

  Naondoka nicje nikapigwa BAN...aaaghh!!:disapointed:
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  kama kwel nch hii ingekuwa na wachumi gredi A tusingekuwa kweye 3 bora ya nch omba omba duniani.
   
 10. F

  FJM JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kama kweli Mwigulu anajiamini yeye ni 1st class yake ya Economics like no other, basi I challenge him, aje awafafanulie KPMG, PWC, na CTI kuhusu bajeti ya mwaka huu 2012/13 na ubora wake kama alivyofanya bungeni. Aje na theoeris zake zooote aeleze uzuri wa deni la taifa na uimara wa uchumi wa Tanzania. I dare him! Aje, nitamnunulia safri lager licha ya kuongeza ushuru na pia nitamkodishia 'professional' ladies to entertain him.
   
 11. G

  Godwin Mneng'ene Verified User

  #11
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 217
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nafuatilia kwa makini sana michango ya hawa wabunge wa chama tawala kusema kweli sioni tofauti ya uchangiaji wa wabunge wa ccm ambao ni wasomi wa ngazi za shahada na uzamivu na ambaye shule yake ni ya sekondari wote michango yao inafana . du kweli siasa si mchezo ,hawa wasomi wamegeuka kuwa wajasiliasiasa.
   
 12. Van persie

  Van persie JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 917
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 60
  Jaman nchemba ni mshamba wa kutupwa, eti mimi nina first class inatusaidia nini watzania kila cku uchumi wa tz unadidimia.Halafu anatokea m2 mwenye first class ya mapenzi anasema yeye anatoka bot. Wizi wa epa umetokea pale, kwanini hakugundua mapema mpaka chama dume cdm ndio wakaja kuguandua kuwa bot inaungua?.Achaneni na mwizi huyo nchemba mzee wa igunga.
   
 13. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Big like from my mchina tochi. Huyu mi nimesoma nae namjua vizuri sana. Hastahili kulinganishwa na mtaalam kama Balali.

  Kasoma arts general mlimani na anadanganya watu sana!

  Hivi kwa aliesoma uchumi aniambie kuna topic ya budgeting kwenye uchumi?, huo utaalam wa budget aliusoma wapi?
   
 14. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  Thubutu yake, hii ni level ya Lipumba sio Mwigulu. Akiweza hili nitampa na mke wangu bure!
   
 15. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Nawashukuru wote mliochangia issue hii ya huyu Mnyaturu kichaa Nchemba Mwigulu.

  Inasikitisha kuwa huyu jamaa ni kichwa maji hasa na bado anaendeleza MIPASHO YAKE kwa upinzani. Leo kwenye media news amenukuliwa akidai ETI WAPINZANI WAMEHONGWA PESA NA MATAIFA YA NJE ILI WAIKATAE BAJETI YA SERIKALI!!

  Lakini kichekesho kinakuja pale media hizohizo zikidai Waziri Mkuu Mizengwe Kayanza Peter Pinda AKIUNDA KAMATI YA KUIOKOA BAJETI YA SERIKALI KWA KUIFANYIA MAREKEBISHO!!!Very interesting!

  Mimi natoa ushauri kwa Kambi ya UPINZANI ikiongozwa na watu makini kina Freeman Mbowe,Zitto Kabwe,Tundu Lissu,John Mnyika,Halima Mdee na wengineo WAKAE PAMOJA NA WAAZIMIE KUMKOMESHA HUYU **** MWIGULU NCHEMBA KWA KUTOA MADAI YA UONGO KUWA WAPINZANI WAMEHONGWA KUIKATAA BAJETI. NAOMBA WAOMBE MWONGOZO WA SPIKA ILI NCHEMBA KAMA ANA USHAHIDI AULETE BUNGENI ILI ATHIBITISHE KAMA NI KWELI ANACHOKISEMA.

  Hili siyo Bunge la Komedi Show, kampeni za CCM wala mipasho.

  Nawasilisha.
   
 16. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  jamani tumsamehe.bure huyu mwigulu,unajua kuwa na cheti kizuri cha uchumi, si kuwa mchumi mzuri,kwanza wachumi wazuri hawapo tz, mara mia botswana wangesema wana wachumi wazuri maana unashabihiana na maendeleo.kuliko kuongelea mwigulu anaezidiwa maono na wachumi wenye "gentleman degree" sana sana tunampa umaarufu asiostahili,
   
 17. MANI

  MANI Platinum Member

  #17
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Kweli mkuu !
   
 18. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asamehewe bure labda hana akili timam

  Jaman naomba msaada wa Link nitakayo ingia ili nisikilize live Bungeni nakosa mambo muhimu
   
 19. Mwanga Lutila

  Mwanga Lutila JF-Expert Member

  #19
  Dec 22, 2016
  Joined: Nov 10, 2016
  Messages: 1,835
  Likes Received: 4,152
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa labda kipindi kile alikuwa Mgonjwa wa Akili.
   
Loading...