Lubebenamawe
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 1,952
- 2,194
Wakikusanya mnasema wanapora mali za watu oooo mara wanaua biashara.Naona serikali imeridhika na tozo na imesahau traditional revenue toka kwenye biashara mijini, Ukienda dukani unaelezwa tukupe risiti ya kusafiria au tukupe ya TRA tumerudi kule kule. Mambo yote tozo cheap to collect while they are in the offices. TRA amkeni tumerudi kule kule kuweni macho mngekusanya more and more especially sasa hivi biashara zimechangamka kidogo.