Mwigulu Nchemba ni vyema uchutame, sasa hivi utadaiwa vyeti halisi

Madumbikaya

JF-Expert Member
Jun 6, 2018
637
1,901
Hakuna kitu muhimu katika maisha Kama kutofautisha ya kaisari na ya Kanisa

Ukimtumikia sana kaisari na kusahau kuwa kaisari huchaguliwa na raia ,Na ndani ya raia na wewe mtumishi wa kaisari ni ni mmoja wa raia

Ndugu Nchemba wewe sasa ni Raia sio mtumishi wa kaisari tena una makandokando mengi zaidi ya ile sumu ya kirusi iliyotaka kumuangamiza jasusi na mwanae

Kumbuka Jina lako tu lina utata na ulikuja kujitetea humu kuwa kweli jina sio lako ulitumia la mtu baada ya muhusika kukacha shule, Lakini nyuma ya pazia watu walikuheshimu humu Jf hawakutaka kumwaga mboga ungeumbuka

Kitendo chako cha kutaka kuhutubia jimboni baada ya kaisari kutengua uteuzi na kukufukuza utaamsha hasira za kaisari na wengine kukudai vyeti vyenye majina yako utaumbuka Mwigulu

Kubali kubeba zigo la msalaba ulilobebeshwa, leo hii mambo yote ya hovyo kuhusiana na raia yaliyotokea umebebeshwa wewe, ukweli utalipwa wewe na kizazi chako

Mikutano imefutwa na wewe Mwigulu ulitekeleza hii amri kwa kuita wapinzani wachochezi, Leo umewashwa na nini kutaka ufanye mkutano jimboni kwako

Mwigulu Kubali wewe umeshatumika na kutupwa kwenye dustibin, Anza kutumikia Kanisa sasa kwa kutubu
 
Dunia inaenda kasi sana.
Watanzania msipotumia akili mtakufa na kuteseka sana..
 
Laana ya kutosikiliza maonyo ya Vijana wadogo wenye hekma kama Abdul Nondo itaendelea kumtafuna
 
753BEDAF-B66A-42DE-93C4-9C5513A5856E.jpeg
 
Hakuna kitu muhimu katika maisha Kama kutofautisha ya kaisari na ya Kanisa

Ukimtumikia sana kaisari na kusahau kuwa kaisari huchaguliwa na raia ,Na ndani ya raia na wewe mtumishi wa kaisari ni ni mmoja wa raia

Ndugu Nchemba wewe sasa ni Raia sio mtumishi wa kaisari tena una makandokando mengi zaidi ya ile sumu ya kirusi iliyotaka kumuangamiza jasusi na mwanae

Kumbuka Jina lako tu lina utata na ulikuja kujitetea humu kuwa kweli jina sio lako ulitumia la mtu baada ya muhusika kukacha shule, Lakini nyuma ya pazia watu walikuheshimu humu Jf hawakutaka kumwaga mboga ungeumbuka

Kitendo chako cha kutaka kuhutubia jimboni baada ya kaisari kutengua uteuzi na kukufukuza utaamsha hasira za kaisari na wengine kukudai vyeti vyenye majina yako utaumbuka Mwigulu

Kubali kubeba zigo la msalaba ulilobebeshwa, leo hii mambo yote ya hovyo kuhusiana na raia yaliyotokea umebebeshwa wewe, ukweli utalipwa wewe na kizazi chako

Mikutano imefutwa na wewe Mwigulu ulitekeleza hii amri kwa kuita wapinzani wachochezi, Leo umewashwa na nini kutaka ufanye mkutano jimboni kwako

Mwigulu Kubali wewe umeshatumika na kutupwa kwenye dustibin, Anza kutumikia Kanisa sasa kwa kutubu
.
downloadfile.jpg
holiday-inn-express-moncks.jpg
 
Kumbuka Jina lako tu lina utata na ulikuja kujitetea humu kuwa kweli jina sio lako ulitumia la mtu baada ya muhusika kukacha shule, Lakini nyuma ya pazia watu walikuheshimu humu Jf hawakutaka kumwaga mboga ungeumbuka
Madumbi, Dr. Mwigulu Nchemba vyeti vyake vyote ni halali, ni yeye ndie aliingia shule kusoma, kuhitimu na kupasi with flying colors.

Hakuna kosa lolote la jinai kutumia jina lolote katika vyeti vyako as long as aliyeingia darasani, kusoma na kuhitimu ni wewe!.

Forgery ni kutumia vyeti vyenye jina la mtu mwingine kwa kujifanya ni wewe.
Vyeti bandia ni mtu kuwasilisha vyeti vya mtu mwingine na kujifanya amesoma yeye huku sii yeye.

Mwigulu hana vyeti bandia, vyeti vyake ni vyake halali.
Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli

P
 
Hakuna kitu muhimu katika maisha Kama kutofautisha ya kaisari na ya Kanisa

Ukimtumikia sana kaisari na kusahau kuwa kaisari huchaguliwa na raia ,Na ndani ya raia na wewe mtumishi wa kaisari ni ni mmoja wa raia

Ndugu Nchemba wewe sasa ni Raia sio mtumishi wa kaisari tena una makandokando mengi zaidi ya ile sumu ya kirusi iliyotaka kumuangamiza jasusi na mwanae

Kumbuka Jina lako tu lina utata na ulikuja kujitetea humu kuwa kweli jina sio lako ulitumia la mtu baada ya muhusika kukacha shule, Lakini nyuma ya pazia watu walikuheshimu humu Jf hawakutaka kumwaga mboga ungeumbuka

Kitendo chako cha kutaka kuhutubia jimboni baada ya kaisari kutengua uteuzi na kukufukuza utaamsha hasira za kaisari na wengine kukudai vyeti vyenye majina yako utaumbuka Mwigulu

Kubali kubeba zigo la msalaba ulilobebeshwa, leo hii mambo yote ya hovyo kuhusiana na raia yaliyotokea umebebeshwa wewe, ukweli utalipwa wewe na kizazi chako

Mikutano imefutwa na wewe Mwigulu ulitekeleza hii amri kwa kuita wapinzani wachochezi, Leo umewashwa na nini kutaka ufanye mkutano jimboni kwako

Mwigulu Kubali wewe umeshatumika na kutupwa kwenye dustibin, Anza kutumikia Kanisa sasa kwa kutubu
Jamaa wenge kibao, Nape alipata sympathy ya wa Tz kwakua hakua na kiburi kilichopitiliza
 
Back
Top Bottom