Mwigulu Nchemba mgeni rasmi uzinduzi wa album ya kwaya AIC Geita

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
724
Leo kuna uzinduzi wa album ya kwaya ya vijana AIC Geita na mgeni rasmi atakuwa Bw.Nchemba ngoja tusubiri leo ataibuka na lipi maana hawezi kuongea bila kuitaja CDM..... stay tuned
 
Leo kuna uzinduzi wa album ya kwaya ya vijana AIC Geita na mgeni rasmi atakuwa Bw.Nchemba ngoja tusubiri leo ataibuka na lipi maana hawezi kuongea bila kuitaja CDM..... stay tuned
Mkuu wewe sijui umekula uyoga ulishaona mchungaji au padri anahubiri bila kumtaja shetani fikri kwanza kabla ya kunena.
 
Katika watu ambao chadema hamlali mkimwaza usiku na mchana ni mwigulu nchemba.
 
Leo kuna uzinduzi wa album ya kwaya ya vijana AIC Geita na mgeni rasmi atakuwa Bw.Nchemba ngoja tusubiri leo ataibuka na lipi maana hawezi kuongea bila kuitaja CDM..... stay tuned

.
Mtengeneza mabomu yaliyoua watu kanisani Olisati leo ni mgeni rasmi wa wanakwaya wa kanisa?
Ama kweli leo hii kwa sababu ya tamaa iliyokithiri ya kupenda fedha sii rahisi kutofautisha kati ya shetani na Mungu. Wadhungu wanasema ''get rich or die'' na waswahili tunasema ''pesa ni pesa tu hata kama imetoka kwa shetani.
.
 
Back
Top Bottom