Mwigulu Nchemba live on ITV - Dk 45

mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,913
916
Tufuatilie tujue naibu waziri wa fedha mwigulu nchemba anachozungumza kwa watanzania.
 
Wana jf naomba mmufwatilie mzalendo wa kwanza Tanzania utaamini sokoine amerudi tanzania badilisha channeli unayoona weka I.t.v mdaa huu
 
Naibu waziri wa fedha Mwigulu Nchemba yupo hewani ITV katika kipindio cha dakika 45 akihojiwa na Emmanuel Buhohela.
Anaongelea zaidi mambo ya kodi.
Stay tuned for more updates.
 
Mwigulu ni Mzalendo haswa! Mungu aendelee kumpa upeo! Anaongea vitu vya maana sana kuhusu maendeleo ya nchi yetu!
 
Anazungumza vizuri sana anastahili kuungwa mkono jamaa yuko vizuri sana hasa kwenye hili suala la kupunguza matumizi ya serikali.
 
Wana jf naomba mmufwatilie mzalendo wa kwanza Tanzania utaamini sokoine amerudi tanzania badilisha channeli unayoona weka I.t.v mdaa huu

The so called FIELD MARSHALL - NCHEMBA; Ana damu ngapi mikononi Mwake? hizo ndio sifa za Ma FIELD MARSHALL's duniani
 
Mwigulu ni Mzalendo haswa! Mungu aendelee kumpa upeo! Anaongea vitu vya maana sana kuhusu maendeleo ya nchi yetu!
Masharti na vigezo lazima vizingatiwe kwenye uzalendo siyo porojo kwenye vyombo vya habari

"You must love your country by deeds instead of words".
 
Safi sana aisee..Mwigulu ni mzuri sana huyu jamaa sema siasa tu inamfanya aonekane namna gani..!!

Kweli wew ni gogo la chooni. Yani ni mzuri sana ktk kuua wTz wenzetu. Ngoja ndugu yako auwawe ndo utaona uzuri wake mana watz ni wavivu kufikiri tayari ushasahau alivyomuuwa dr. Mvungi
 
Jini mahaba
avatar211193_1.gif
 
Back
Top Bottom