Mwigulu Nchemba kiepuke kikombe hicho mapema vinginevyo jumba bovu linaenda kukuangukia wewe

hakuna mfanyabiashara anayependa kulipa kodi. Hii itakuwafursa yetu kukwepa kodi vizuri.
 
Kama aliyepita aliwakimbiza wafanyabiashara na kodi mlikua mnasema mmevuka malengo, iwaje huyu anaewarudisha wafanyabiashara akwame?
Ungetoa chuki uliyonayo na huyu Mama pengine ungeandika hoja zenye mashiko
 
Tanzania inaenda kushuhudia anguko kuu la makusanyo ya kodi ambalo limeruhusiwa kwa makusudi na kiongozi wa Nchi kisa eti kuwabembeleza wafanyabiashara.

Bila kuwa na maono mkuu wa Nchi amedai hata makusanyo yakipungua kwa miezi mitatu ama miwili halipo tatizo huku akitabiri makusanyo kupanda juu baada ya wakati huo wa mpito jambo ambalo kwa sera na uhalisia wa wafanyabiashara wetu ni vigumu kutimiza wajibu wao ki hiari.Na hapo ndipo anguko la Mwigulu Nchemba litapoanzia.

Ndugu yangu Mwigulu natambua wewe ni mtu wa fursa lakini kwa hilo anguko lijalo la makusanyo ya kodi litapelekea uangushiwe jumba BOVU huku ukilaumiwa umeshindwa kuisimamia mamlaka ya kukusanya kodi vyema na hapo utafutwa kazi.

Tafadhari,jiepushe na kikombe hicho mapema.
Katika mabadiliko kwenye baraza la mawaziri, hapo Mwigulu kuchemsha, sio mtu wa kazi bali vijembe ndio taaluma yake anayoimudu
 
Tanzania inaenda kushuhudia anguko kuu la makusanyo ya kodi ambalo limeruhusiwa kwa makusudi na kiongozi wa Nchi kisa eti kuwabembeleza wafanyabiashara.

Bila kuwa na maono mkuu wa Nchi amedai hata makusanyo yakipungua kwa miezi mitatu ama miwili halipo tatizo huku akitabiri makusanyo kupanda juu baada ya wakati huo wa mpito jambo ambalo kwa sera na uhalisia wa wafanyabiashara wetu ni vigumu kutimiza wajibu wao ki hiari.Na hapo ndipo anguko la Mwigulu Nchemba litapoanzia.

Ndugu yangu Mwigulu natambua wewe ni mtu wa fursa lakini kwa hilo anguko lijalo la makusanyo ya kodi litapelekea uangushiwe jumba BOVU huku ukilaumiwa umeshindwa kuisimamia mamlaka ya kukusanya kodi vyema na hapo utafutwa kazi.

Tafadhari,jiepushe na kikombe hicho mapema.
Wewe ni mtu wa ajabu asiyependa haki, au ulikuwa ukifurahia uharamia wa magu nini?
 
Kusanya kodi tuu, usishausike au kushauri hata mara moja kuprint pesa ambako mama anaelekea atakulazimisha.

Mishahara naamini itaanza kuwa taabu kuanzia June this year.

Na itachukua kwa uchache miaka 2 kufikia 1.42 trillion.

Unless mradi kwenye kodi za Ardhi na nyumba za kulazimisha hapo mtafika 1.6 baada ya miaka 3.

Uchumi wetu upo 62 billion na 12% ndio taxable ambayo 7.44 billion..

Tax collection yetu ni kama 6% ya 7.44 billion, meaning maximum collection ni 1,004 million TShs.

Mishahara, debt repayment inakuja kuwa 1.100.

Your annual budget financing requirement ni 32 billion, wapi na wapi Bwana Mpango.

National Budget financing ni 26% tuu.

Hamumtaki Mwigulu lakini hamkutaka kumwambia.

Complete fiscal evidential working papers ninazo ukiihitaji Bwana Mwigulu nitakupatia.
 
Tanzania inaenda kushuhudia anguko kuu la makusanyo ya kodi ambalo limeruhusiwa kwa makusudi na kiongozi wa Nchi kisa eti kuwabembeleza wafanyabiashara.

Bila kuwa na maono mkuu wa Nchi amedai hata makusanyo yakipungua kwa miezi mitatu ama miwili halipo tatizo huku akitabiri makusanyo kupanda juu baada ya wakati huo wa mpito jambo ambalo kwa sera na uhalisia wa wafanyabiashara wetu ni vigumu kutimiza wajibu wao ki hiari.Na hapo ndipo anguko la Mwigulu Nchemba litapoanzia.

Ndugu yangu Mwigulu natambua wewe ni mtu wa fursa lakini kwa hilo anguko lijalo la makusanyo ya kodi litapelekea uangushiwe jumba BOVU huku ukilaumiwa umeshindwa kuisimamia mamlaka ya kukusanya kodi vyema na hapo utafutwa kazi.

Tafadhari,jiepushe na kikombe hicho mapema.
Namshauri mh Rais wetu afukuze majitu yote ya magufuli serikalini, amwage mboga,maana ndio hawa wanaleta kero mitandaoni
 
Umetishika na namba za makusanyo ya Magufuli mkuu usitishike ngoja nikupe shule ndogo

Enz za mkwere jk makusanyo yalikuwa bil 800 kumbuka hapo halmashauri zilikuwa hazijulishwi katika hili

Baada ya Magufuli kuingia hesabu ilipanda sababu makusanyo yote yalifanywa na TRA hivyo halmashaur hazikuruhusiwa kukusanya na hapo. Mapato yakapanda had 1T

kwa hyo Wala usitishike hata hvyo pesa nyingi imenunua wapinzani na baadhj ya elephant projects Kama Kama chato airport uanzishwaji wa mbuga ya burigi na akaamue ahonge daraja ukweni la busisi
 
Tanzania inaenda kushuhudia anguko kuu la makusanyo ya kodi ambalo limeruhusiwa kwa makusudi na kiongozi wa Nchi kisa eti kuwabembeleza wafanyabiashara.

Bila kuwa na maono mkuu wa Nchi amedai hata makusanyo yakipungua kwa miezi mitatu ama miwili halipo tatizo huku akitabiri makusanyo kupanda juu baada ya wakati huo wa mpito jambo ambalo kwa sera na uhalisia wa wafanyabiashara wetu ni vigumu kutimiza wajibu wao ki hiari.Na hapo ndipo anguko la Mwigulu Nchemba litapoanzia.

Ndugu yangu Mwigulu natambua wewe ni mtu wa fursa lakini kwa hilo anguko lijalo la makusanyo ya kodi litapelekea uangushiwe jumba BOVU huku ukilaumiwa umeshindwa kuisimamia mamlaka ya kukusanya kodi vyema na hapo utafutwa kazi.

Tafadhari,jiepushe na kikombe hicho mapema.
acha mawazo finyu wewe ,angalia mbali mama anataka kuongeza wigo wa walipa kodi wawe wengi badala ya kuwa na wachache halafu unaawabana na kkuwakkwapua fedha zao benki, kipindi cha mpito kodi itashuka ila mbeleni itaongezeeeka, kuwa na uupeo hilo ni swala la kichumii siyo siasa kudanganya wananchi tunajenga ukuta wakati bado tunaibiwa
 
Ala kumbe kazi yenyewe ya uraisi ni ngumu
Kazi ya kwanza kwa ugumu ni Uraisi ya pili kwa ugumu ni uwaziri wa fedha na mipango Hixo kazi usiombe upate .Mwenyezi Mungu nfie akwambie kaa pale lakini ukienda kichwa kichwa waweza taka kuiacha njiani

Sidhani Kama Mwigulu ana kifua cha kuhimili atabwaga au kubwagwa njiani

Kazi hiyo inawafaa waha na wapare na wachaga vyuma vya pua
 
Kazi ya kwanza kwa ugumu ni Uraisi ya pili kwa ugumu ni uwaziri wa fedha na mipango Hixo kazi usiombe upate .Mwenyezi Mungu nfie akwambie kaa pale lakini ukienda kichwa kichwa eaweza taka kuiacha njiani

Sidhani Kama Mwigulu ana kifua cha kuhimili atabwaga au kubwagwa njiani

Kazi hiyo inawafaa waha na wapare na wachaga vyuma vya pua
Mwigulu ni economist by trade in my opinion ni mapema mno kumuhukumu; tatizo lake ni kujipendeza mpaka akili zinamruka saa zingine he is not independent in thinking.
 
Tanzania inaenda kushuhudia anguko kuu la makusanyo ya kodi ambalo limeruhusiwa kwa makusudi na kiongozi wa Nchi kisa eti kuwabembeleza wafanyabiashara.

Bila kuwa na maono mkuu wa Nchi amedai hata makusanyo yakipungua kwa miezi mitatu ama miwili halipo tatizo huku akitabiri makusanyo kupanda juu baada ya wakati huo wa mpito jambo ambalo kwa sera na uhalisia wa wafanyabiashara wetu ni vigumu kutimiza wajibu wao ki hiari.Na hapo ndipo anguko la Mwigulu Nchemba litapoanzia.

Ndugu yangu Mwigulu natambua wewe ni mtu wa fursa lakini kwa hilo anguko lijalo la makusanyo ya kodi litapelekea uangushiwe jumba BOVU huku ukilaumiwa umeshindwa kuisimamia mamlaka ya kukusanya kodi vyema na hapo utafutwa kazi.

Tafadhari,jiepushe na kikombe hicho mapema.
Msukuma umeajiriwa kuona udhaifu wa Raisi aliyepo tofauti na mwenda zake ambaye hakuwa na dosari? Unatesaka ukiwa wapi sasa?
 
Tanzania inaenda kushuhudia anguko kuu la makusanyo ya kodi ambalo limeruhusiwa kwa makusudi na kiongozi wa Nchi kisa eti kuwabembeleza wafanyabiashara.

Bila kuwa na maono mkuu wa Nchi amedai hata makusanyo yakipungua kwa miezi mitatu ama miwili halipo tatizo huku akitabiri makusanyo kupanda juu baada ya wakati huo wa mpito jambo ambalo kwa sera na uhalisia wa wafanyabiashara wetu ni vigumu kutimiza wajibu wao ki hiari.Na hapo ndipo anguko la Mwigulu Nchemba litapoanzia.

Ndugu yangu Mwigulu natambua wewe ni mtu wa fursa lakini kwa hilo anguko lijalo la makusanyo ya kodi litapelekea uangushiwe jumba BOVU huku ukilaumiwa umeshindwa kuisimamia mamlaka ya kukusanya kodi vyema na hapo utafutwa kazi.

Tafadhari,jiepushe na kikombe hicho mapema.
Mama Samia Chaaaapa kaaazi!!!....pumbava wewe
 
Back
Top Bottom