johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,872
Hahahaaaa... . !Hii akili umeitoa wapi leo?!

Labda bado ana imani gwajima atamfufuaWe jamaa unahangaika mno na utawala wa mama Samia
Kwani we ulitaka awe nani Rais?
Ole dotto ango?Tanzania inaenda kushuhudia anguko kuu la makusanyo ya kodi ambalo limeruhusiwa kwa makusudi na kiongozi wa Nchi kisa eti kuwabembeleza wafanyabiashara.
Bila kuwa na maono mkuu wa Nchi amedai hata makusanyo yakipungua kwa miezi mitatu ama miwili halipo tatizo huku akitabiri makusanyo kupanda juu baada ya wakati huo wa mpito jambo ambalo kwa sera na uhalisia wa wafanyabiashara wetu ni vigumu kutimiza wajibu wao ki hiari.Na hapo ndipo anguko la Mwigulu Nchemba litapoanzia.
Ndugu yangu Mwigulu natambua wewe ni mtu wa fursa lakini kwa hilo anguko lijalo la makusanyo ya kodi litapelekea uangushiwe jumba BOVU huku ukilaumiwa umeshindwa kuisimamia mamlaka ya kukusanya kodi vyema na hapo utafutwa kazi.
Tafadhari,jiepushe na kikombe hicho mapema.
Naona unahangaika sana na mada zisizo na kichwa mala miguu.Tanzania inaenda kushuhudia anguko kuu la makusanyo ya kodi ambalo limeruhusiwa kwa makusudi na kiongozi wa Nchi kisa eti kuwabembeleza wafanyabiashara.
Bila kuwa na maono mkuu wa Nchi amedai hata makusanyo yakipungua kwa miezi mitatu ama miwili halipo tatizo huku akitabiri makusanyo kupanda juu baada ya wakati huo wa mpito jambo ambalo kwa sera na uhalisia wa wafanyabiashara wetu ni vigumu kutimiza wajibu wao ki hiari.Na hapo ndipo anguko la Mwigulu Nchemba litapoanzia.
Ndugu yangu Mwigulu natambua wewe ni mtu wa fursa lakini kwa hilo anguko lijalo la makusanyo ya kodi litapelekea uangushiwe jumba BOVU huku ukilaumiwa umeshindwa kuisimamia mamlaka ya kukusanya kodi vyema na hapo utafutwa kazi.
Tafadhari,jiepushe na kikombe hicho mapema.
Hawa Jamaa ni wapuuzi sana. Mama kuwaambia wenye mamlaka waache tabia ya kukusanya kodi kwa mitutu ya bunduki bali kwa mujibu wa sheria zilizowekwa. Kwao ni kosa??Wewe Jitombanini ni mpuuzi sana! Nyie ndo mlinufaika na utawala wa maguvu wa Magufuli sasa meza imehama kutoka kwenu!
Watu wenye akili wanajua " more investments more taxes"! Huwezi kupata kodi nyingi kwa kufukuza wawekezaji au kufrastruate watu!
Nyie ndo mlipora fedha za watu na matask force yenu ya kupora watu pesa zao.
Tafuta wenzako akina Musiba,Makonda muunde Chama Chenu Cha Maguvu hata ndani ya CCM wawa ng'oe kwani akili zenu ndogo sana!
MkuuKodi itakusanywa kihalali na kwa mujibu wa sheria.
Makusanyo yakipungua ndio uhalisia wenyewe!
Nyie mlikua hamkusanyi kodi, mlikua mnanyang'anya watu pesa zao. Kodi za dhulma mama kasema hataki.Tanzania inaenda kushuhudia anguko kuu la makusanyo ya kodi ambalo limeruhusiwa kwa makusudi na kiongozi wa Nchi kisa eti kuwabembeleza wafanyabiashara.
Bila kuwa na maono mkuu wa Nchi amedai hata makusanyo yakipungua kwa miezi mitatu ama miwili halipo tatizo huku akitabiri makusanyo kupanda juu baada ya wakati huo wa mpito jambo ambalo kwa sera na uhalisia wa wafanyabiashara wetu ni vigumu kutimiza wajibu wao ki hiari.Na hapo ndipo anguko la Mwigulu Nchemba litapoanzia.
Ndugu yangu Mwigulu natambua wewe ni mtu wa fursa lakini kwa hilo anguko lijalo la makusanyo ya kodi litapelekea uangushiwe jumba BOVU huku ukilaumiwa umeshindwa kuisimamia mamlaka ya kukusanya kodi vyema na hapo utafutwa kazi.
Tafadhari,jiepushe na kikombe hicho mapema.
Kumbe ulikuwaga na akili? Sasa ilikuwaje kwani? MaajabuKodi itakusanywa kihalali na kwa mujibu wa sheria.
Makusanyo yakipungua ndio uhalisia wenyewe!
SUKUMA & CO.LTD AT WORK.Tanzania inaenda kushuhudia anguko kuu la makusanyo ya kodi ambalo limeruhusiwa kwa makusudi na kiongozi wa Nchi kisa eti kuwabembeleza wafanyabiashara.
Bila kuwa na maono mkuu wa Nchi amedai hata makusanyo yakipungua kwa miezi mitatu ama miwili halipo tatizo huku akitabiri makusanyo kupanda juu baada ya wakati huo wa mpito jambo ambalo kwa sera na uhalisia wa wafanyabiashara wetu ni vigumu kutimiza wajibu wao ki hiari.Na hapo ndipo anguko la Mwigulu Nchemba litapoanzia.
Ndugu yangu Mwigulu natambua wewe ni mtu wa fursa lakini kwa hilo anguko lijalo la makusanyo ya kodi litapelekea uangushiwe jumba BOVU huku ukilaumiwa umeshindwa kuisimamia mamlaka ya kukusanya kodi vyema na hapo utafutwa kazi.
Tafadhari,jiepushe na kikombe hicho mapema.
Eeeh na wewe umegeuka..mleta mada ni mataga mwenzio ...hehehehee mama amewashikaKodi itakusanywa kihalali na kwa mujibu wa sheria.