Mwigulu Nchemba: CCM imejenga shule za kata, CHADEMA mbona hawajajenga hata chumba?

Mwigulu sio bure, atakuwa amechomoka misumali kichwani huyu!!! Hivi kwa akili yake ya kawaida anaweza kutaja angalau shule moja ya serikali iliyo jengwa na ccm ambayo anaweza kusema angalau imefaulisha japo Div 1 moja?!

Mkuu Mtoi hapo jamaa alikuwa anataka kutuambia kwamba wao ndo waliojenga izo zinazoitwa failure generators.Shule zimejengwa na serikali ila hazina waalimu na vifaa.zimeanzishwa kisiasa zaidi
 
hivi haka kachangudoa mwigulu kametokea wapi. huu uchangu utampeleka pabaya kwa kukubali kuwa kibaraka wa ccm. sijui jamaa anataka cheo yaani kilasiku achoki kuiandama chadema. TUNAJUA ANATAKA RAISI WAKE MDHAIFU AFURAHI KWA KUWACHAFUA CHADEMA!
 
Something is very wrong in his head. The fact that there are some people who are ready to listen and believe in his 'make believe tales' makes me wonder. How could ccm sink that LOW? I am very sorry for his constituency! Keep on dreaming Mwigulu... When you finally wake up you will realize that you are NAKED!!!
 
Hivi Mwigulu inasemekana amesoma ni mjinga kiasi hiki. Jea asingesoma kabisa angekuwa mbumbu kiasi gani? Shule zimejengwa na wananchi wote wakiwamo CHADEMA, CCM, TLP, CUF, CCJ,CCK, na wananchi wote wasiokuwa na vyama. Huyu mtu ni mjinga kuliko wajinga wote wa kisiasa! Kweli waliomchagua huyu wamekula hasara na Mwenyekiti aliyempendekeza awe makamu bara kala hasara kwani kaweka zezeta la kisiasa kwenye nafasi nyeti matokeo yake chama kinaaibika!
 
Mimi nachangia 50% ya pato langu kwa budget ya nchi ambayo sehemu yake ndio hiyo imejenga hizo shule na si mwanaccm.sasa huyo atasemaje ccm imejenga shule? Kazi ya chadema leo ni kuwashawishi wananchi wawape dhamana ya kusimamia mapato yao na hata kuwaendeleza. Reference atafute maana ya stewardship law.
 
Kuna Mchemba na mwenzake Lusinde aka kibajaj. Hawa ni bure kabisa. Yaani mpaka CCM wenzake wamemwita kibajaj ujue hana dili. Nawaona hawa kama wabangaizaji tu na nitawashangaa wananchi wa majimbo yao kama watawarudisha bungeni mwaka 2015. Kweli nitaamini Tanzania hii yahitaji utakaso wa nguvu.
 
Hivi! sisi hii michango tunaochangia kwaajili ya ujenzi wa shule za kata, tena kwa kulazimishwa ni wanachama wa CCM? Hao ------- sana haho, hala bila shaka walikuwa wanapiga makofi kusapoti hizo kauli. ---- ZAO HAO WATU
 
Tunaweza kusema watu wa Iramba walidanganyika kwa T-shirts na ubwabwa kutokana na kampeni chafu au vyama vingine havikuweka wagombea bora kiasi cha kufanya Mtu kama Mwigulu kupita Ubunge. Lakini jee Mwenyekiti wa Chama kikongwe na ambaye anao washauri lukuki katika kufanya maamuzi ya kuunda timu ya uongozi hajaliona kosa hili la kumpa nafasi ya juu mtu mwenye uwezo wa chini kiasi hicho?
Binafsi simlaumu Mwigulu,huo ndio mwisho wa uwezo wake sasa afanyeje? Ila hao viongozi wengine nao wanauwezo wa chini kiasi hicho. Mpaka wasione aibu inayo ishusha CCM mbele ya wanye akili kutokana na kauli za Mwigulu?
Kama hawaoni tofauti basi Mwigulu hana KOSA ila hao waliomweka hapo alipo.
 
Pesa zao wanatumia kuwanunulia wananchi kofia, t-shirt tena bila chupi. Wakituacha sisi tunaumia sana kutoa michango kwaajili ya ujenzi wa shule, wao wanasema wanajenga wao.
View attachment 96461
 
  • Thanks
Reactions: Pai
Mwampamba na Juliana Shonza ndio wanajivunia kuwa na kiongozi kama huyu ambaye anawadanganya watanzania waziwazi?Napata mashaka sana na kinachoendelea CCM kwa sasa kama mambo yenyewe ndio haya,yaani naibu katibu mkuu wa chama anasema vitu vya hovyo kama hivi sijui kwenye vikao huwa anaongea vitu gani vya maana.
CCM msipokuwa makini huyu Mwigulu atawaharibia kila kitu.
 
Kuna kitu nimeki-notice, mipasho ya Nchemba dhidi ya CDM bungeni haipishani sana na vijembe vya Bi Juliana Shonza dhidi ya CDM hapa jamvini. Kuna uwezakano mmoja ni msahuri wa mwingine au wanashauriana faraghani kabla ya kuja hadaharani!!!!!!!
 
anatumiwa na anaelekezwa nini cha kusema.''Every circumstance is conditioned''
 
Hivi hii KOFIA siyo ya Wachina kweli? Kashaanza kuokota tayari?

attachment.php

Chairman-Mao-Posters-pic1.jpg
9(99).jpg

Asipookota makopo mwaka huu basi ataingia mwituni
 
Mwigulu sio bure, atakuwa amechomoka misumali kichwani huyu!!! Hivi kwa akili yake ya kawaida anaweza kutaja angalau shule moja ya serikali iliyo jengwa na ccm ambayo anaweza kusema angalau imefaulisha japo Div 1 moja?!

Hata mie nimeshangaa! Kwani CCM inajenga shule au Serikali ambayo inakusanya kodi za watu wote?? Tena ni wajibu wake kufanya hivyo? Iko siku tutaambiwa hata nyumba zetu tulizojenga wenyewe tumejengewa na CCM maana ndio chama Tawala!!!
 
Huyu mwigulu anawagusa chadema kwenye mishipa muhimu nadhani alipo simama kuchangia lisu na mnyika waliomba muongozo wa spika.
 
Hata mie nimeshangaa! Kwani CCM inajenga shule au Serikali ambayo inakusanya kodi za watu wote?? Tena ni wajibu wake kufanya hivyo? Iko siku tutaambiwa hata nyumba zetu tulizojenga wenyewe tumejengewa na CCM maana ndio chama Tawala!!!
Kwani serikari inaongozwa na chama gani usiwe unashangaa ambavyo siyo vya kushangaa.
 
Kuna kitu nimeki-notice, mipasho ya Nchemba dhidi ya CDM bungeni haipishani sana na vijembe vya Bi Juliana Shonza dhidi ya CDM hapa jamvini. Kuna uwezakano mmoja ni msahuri wa mwingine au wanashauriana faraghani kabla ya kuja hadaharani!!!!!!!
Lakini anayeongoza kwa mipasho kunamzee mmoja hivi ambaye hutoa matamko kwa wiki mara saba.
 
Pesa zao wanatumia kuwanunulia wananchi kofia, t-shirt tena bila chupi. Wakituacha sisi tunaumia sana kutoa michango kwaajili ya ujenzi wa shule, wao wanasema wanajenga wao.
View attachment 96461[/QUmOTE]
Mbona unaongea maneno yasiyofaa humu jf kunawatu wazima na heshima zao hapa siyo bavicha kijana.
 
Back
Top Bottom