imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,677
- 71,034
Kama Shetani alikuwa ni Malaika,basi Shetani anaweza kujirudi na kuwa Malaika mtakatifu tena tumuunge mkono Nape kwa maslahi ya Taifa.Mwama huu Nape kawashika.
Kama Shetani alikuwa ni Malaika,basi Shetani anaweza kujirudi na kuwa Malaika mtakatifu tena tumuunge mkono Nape kwa maslahi ya Taifa.Mwama huu Nape kawashika.
Nape ameeanyosha wamebaki kutukana tu. Hakuna anayejibu hoja.Kama Shetani alikuwa ni Malaika,basi Shetani anaweza kujirudi na kuwa Malaika mtakatifu tena tumuunge mkono Nape kwa maslahi ya Taifa.
Comments nyingi huwa unachangia pindi unapotoka kufiilwa!!
Na kuitisha maandamano yasiyokoma halafu siku ilipofika hata yeye hakuonekana 🤣🤣🤣🤣Legacy ya Lisu kwa taifa ni kuolewa na Amsterdam
apenda nitoe mawazo yangu kwenye mikopo ya serikali. Nitaelezea kwa mtiririko wa utekelezaji ili niwasaidie Serikali badala ya kulalamika na kupigiana madongoWaziri wa fedha Dk Mwigulu Nchemba amefunguka na kuwachana wanaohoji kukua kwa deni la taifa kuwa wasihoji kwa kukurupuka kama wamebambikwa mbali wahoji kwa kuangalia na miradi iliyotekelezwa kwenye kipindi hicho.
Nchemba amebaniinisha kuwa kuna maelfu ya miradi imetekelezwa nchini ikiwemo barabara za lami, umeme vijijini ,maji na Zahanati kila mahali kwa kutumia fedha hizo.
Dk Mwigulu afunguka kuhusu deni la Taifa
Kwa sasa mjadala mzito ni deni la Taifa, ambapo Dk Mwigulu amelieleza Bunge kuwa fedha hizo zilizokopwa zimetumika kujenga miradi mikubwa hasa uboreshaji wa miundombinu.www.mwananchi.co.tz
HahahahaSafi sana!
Nape ni " cha mtoto" kwa Dr Mwigullu Nchemba
Nadhani baada ya majibu hayo atakalisha kasesela chini!
Sasa anaogopa nini kama mambo ni shwari?Safi sana!
Nape ni " cha mtoto" kwa Dr Mwigullu Nchemba
Nadhani baada ya majibu hayo atakalisha kasesela chini!
Mama upo misri juz alikuwa scotland wik iliopita alikuwa nigeria ni bata kwenda mbele kwa jinsi madaraka yalivyo matamu ktk nchi hii CHADEMA haiingii ikulu Ng'oooooooooooNape ni mbunge wa CCM, na hoja ikitoka kwa mwanachama na mbunge wake basi lazima iwe na uzito wake - ni kweli CAG achunguze kwa undani wake hili deni letu la taifa llimepandapandaje hadi kufikia hapo lilipo. hii ni hoja ya msingi sana.
Si kwa ubaya ama lengo la kumkamata mtu hapana, ni kujiridisha tu kwamba je pesa ilikopwa na kutumika kwa msingi ya kisheria.
mliyasema haya mwaka mmoja nyuma mkiwa majukwaani.....Ukinunua gari lako kwa mkopo maana yake umenunua kwa pesa za nani?