Mwigulu Nchemba avuliwa skafu na Spika!

Punguzeni Munkari
Hata kwa kumjadili yeye mnapoteza wakati mbao mngefanya jambo la maana ili kusukuma haya maisha magumu kama Greda la kifaransa
mwenzetu tayari yupo mgodini anajizolea mpaka ya kizazi chake chote.
uwiiii
 
ule ushabiki wao wa kisiasa kule AR uko wapi? cdm,ccm ndiyo waliolipua bomu ccm nao hapana ni cdm,kumbe wala ni watu wengine kabisa sasa hizi sifa za kina nchembe zinatupeleka wapi?
 
Kuna watu vilaza humu wanazungumzia kuvuliwa skafu nchemba hawazungumzii matusi wanayotukana akina naniliu yaan bongo kweli kuna matatizo
 
attachment.php


Arooo, hii mijamaa ya SiSiemu inapanda bodaboda bira maherimeti, tukaya aresti nini? Huu ni mfano hovyo hovyo kwa raia.
 
Punguzeni Munkari
Hata kwa kumjadili yeye mnapoteza wakati mbao mngefanya jambo la maana ili kusukuma haya maisha magumu kama Greda la kifaransa
mwenzetu tayari yupo mgodini anajizolea mpaka ya kizazi chake chote.
uwiiii

we hapa umefata nini!!!!!!!!!!!!!
kwanini usitumie huu muda kufanya jambo la maana
 
..nchi ya kichawi hii....kiasi kwamba mijitu inatembea hadi na mahirizi mashingoni bila kuona haya....yanadanganya kuwa eti ni ma patriot...kumbe mihirizi tu....majitu hayamwogopi haya Mungu wao...unawezaje kujidai eti we patriot wakati unasimamia wizara yenye kashfa ya wizi BOT...na wala huonekani kuguswa na wizi huo...machawi tu.....
 
Spika Makinda amemwamuru Mwigulu kuvua mara moja ndani ya ukumbi wa bunge leo jioni!

Pongezi spika kwa kumkumbusha Mwigulu nidhamu ya bunge!

Makinda amechoka sana, sasa kwani Mwigulu ameanza kuvaa leo bungeni uli mkashida unaoashiria kwamba Mwigulu ni mtu wa jinsia nyengine?.

Huyu mama hafai hafai kabisa sijuw kuna siri gani yeye na Rais Kikwete mapaka kupewa uspika hajuw chochote, ilikuwa amkataze from the day one.
 
Jamaa kazidi,anajifanya anathamini sana serikali na ccm,wakati toka awe naibu waziri,walimu na wafanyakazi wa hospilal wanacheleweshewa mishahara yao.

Mwigulu tangu aanze kujihusisha na kundi la kutesa wanamageuzi ndio heshima yake imezidi kuporomoka siku hadi siku.Hata hapa Wizarani watu wanampuuza Sana.
 
Back
Top Bottom