Mwigulu Nchemba ataka msajili wa vyama kusitisha Operesheni Sangara za CHADEMA

Kunya Anye kuku Akinya Bata Kaharisha wao CCM walichofanya Rukwa,Jangwani na Jana Kigoma ni nini?Ingekuwa CDM ndo wanazungumzia hili wangeambiwa kesi ipo mahakamani.:eek2:

Mwigulu kiboko yenu, sasa kuna watano wengine wanakuja kusaidiana na Nape na Mwigulu, kila mmoja anawekwa kanda yake hivi tunawatayarisha kwa lugha za kienyeji za kila kandaa watayowasilisha,

Halafu huku kwanini msifunguwe kiwanda cha mbege?

[h=3]Pinda azindua Kiwanda cha Serengeti mjini Moshi[/h]

Mwigulu kiboko yenu, sasa kuna watano wengine wanakuja kusaidiana na Nape na Mwigulu, kila mmoja anawekwa kanda yake hivi tunawatayarisha kwa lugha za kienyeji za kila kandaa watayowasilisha,

Halafu huku kwanini msifunguwe kiwanda cha mbege?

Pinda azindua Kiwanda cha Serengeti mjini Moshi

Jenga utamaduni wa kuona na Dr. Mara kwa mara inaweza kukusaidia tatizo sijekuwa sugu!
 
The people in CDM will change, the colour of bendera will change, but the ideology of CDM will prevail. Hata mfute CDM bado fikra za ukombozi zipo damuni.
 
huyu jamaa ni janga la kitaifa

318877_10151044073649339_1902774458_n.jpg
 
Mwigulu mi huwa namuona kama bado ana akili za kitoto na ushindani wa ki-shule shule, chiz tu yule!
 
kwi kwi kwi kwi kwi kwiiiiiiii
View attachment 59665

Naona roho zinawauma, mkiona waislaam wamepoooa na swaum zao, Mnatamani muwe nao kwenye ushetani wenu wa kila siku. Hili ndio chujio letu, wengi sana tutabaki kwenye neema na huko hamturudishi. Nasikia hata biashara kwa sasa huko ni mbaya.
 
Safari hii Chadema wamekutana na kiboko yako Mwigulu ambae anawabana vilivyo kwenye hoja zao za kipropaganda...Intelijensia ya Chadema walikuja na singo ya kuuwa Dr Slaa wakaona wananchi wameshtuka wakaja na mtambo wa sms...tatizo kuu la Chadema hawana sera, hawana itikadi, hawana kaulimbiu wala ilani ya kutekeleza wamebakia kudandia matukio na kuyatolea matamko.
 
Hivi akili yako mtashinda kura za Tanzania? kwa hesabu zipi? kwi kwi kwi teh teh teh teh!

Mmejipanga kuchakachuzi,mmeshaanza kuingiza na mitambo eh!Issue inaweza kuwa siyo kura Mgombea mnaye?:wacko:
 
Safari hii Chadema wamekutana na kiboko yako Mwigulu ambae anawabana vilivyo kwenye hoja zao za kipropaganda...Intelijensia ya Chadema walikuja na singo ya kuuwa Dr Slaa wakaona wananchi wameshtuka wakaja na mtambo wa sms...tatizo kuu la Chadema hawana sera, hawana itikadi, hawana kaulimbiu wala ilani ya kutekeleza wamebakia kudandia matukio na kuyatolea matamko.

Nina uhakika baada ya kumaliza kuandika hiyo text hapo ulisikia sauti ya nzzzzzzzzzzzzziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wanakufuata ikiwa ishara ya mambo yameshaariba.Endeleeni kujiflash!:israel:
 
Mmejipanga kuchakachuzi,mmeshaanza kuingiza na mitambo eh!Issue inaweza kuwa siyo kura Mgombea mnaye?:wacko:

Pigeni hesabu zenu mkimaliza pindueni kalkuleta juu chini. Urais Tanzania kwenu ni ndoto isiyotimia. Kwa kura zipi?
 
Hizi operation Sangara zinawaumiza na kuwapasua kichwa, hukiacha hayo mauaji hakuna mwana ccm anayezipenda hizi ni noma kweli tena kabla ya uchaguzi ni nzuri balaaa.
 
mwigulu mchumi wa dalaja la 1,kasahau walichomtuma wana wa IRAMBA,mkumbo tuondolee hiki kirusi 2015
 
Back
Top Bottom