Mwigulu Nchemba ataka msajili wa vyama kusitisha Operesheni Sangara za CHADEMA

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
34,378
2,000
Jina lake halikauki humu!! anawakosesha usingizi kabisa hawa jamaa waliozowea matusi na fujo. Kweli dawa ya moto.................. Bravo Nchemba!!

Kama unapenda pesa olewa na ATM au Bank kabisa........Mwigulu anafilisika sasa
 

BHULULU

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
4,916
2,000
Mkuu kofii ni kweri, nchemba kawapigisha kwata la nguvu!! dawa yao imepatikana sasa. Mbowe hanatumia vitisho, mnyika ameumbuka, Tundu Lissu ameomba miongozo chungu tele isio na mashiko. Kwa kifupi sana Mwiguru amebadiri hali ya mchezo kabisa. Kama kule Iramba hakuna mtu anataka kuwasikia wauwaji hawa. Mwanzoni watu waliona wawasikilize ila baada ya mauwaji sidhani kama watathubutu kurudi tena. wananchi wamechukizwa sana sana

Kiswahili nacho naona unaungaunga tu
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
117,314
2,000
tangu ukariri neno hili basi huna jengine......chundu kweli kweli wewe
DHAIFU!! eti Mwigulu kiboko ya Chadema, kama huna cha kuandika bora ukae kimya badala ya kutaka kujibaraguza baraguza na kutundika pumba hapa jamvini....Mwigulu hata siku moja hawezi kuwa kiboko ya CHADEMA.
 

sembuli

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
759
225
samahani nikumbushe kidogo,, hivi wewe ni mmoja wa wale wanaodai waongezwe posho ya propaganda pale
"magamba lumumba"??
 

Makene

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,476
1,195
mwigulu ni mpayukaji asiye na faida kwa walalahoi wa nchi hii, hasa wapiga kura wake.
 

Koffie

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
430
225
DHAIFU!! eti Mwigulu kiboko ya Chadema, kama huna cha kuandika bora ukae kimya badala ya kutaka kujibaraguza baraguza na kutundika pumba hapa jamvini....Mwigulu hata siku moja hawezi kuwa kiboko ya CHADEMA.
sasa weee unafanya nini kwenye huu uzi amabo unauita pumba? jamaaa anawawasha kinoma, mkiona jina lake tu, hao mshaingia yaani ni sawa swa na mtu anayebanwa haja, akiona kichaka tu....tayari. Hii ni wasap sana you know!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom