Mwigulu Nchemba ana kesi ya kujibu kabisa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwigulu Nchemba ana kesi ya kujibu kabisa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ntamaholo, Jul 24, 2012.

 1. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #1
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  Hi wakuu.

  Kufuatia Mwigulu kusambaza ujumbe akisema ametumiwa na akina Mnyika, sasa anaweza akajibu tuhuma hizo, kwani kesi dhidi yake iko wazi. kuna uzi umeanzishwa, nimependa sana analysis yao, nimegundua katika maelezo yao, Mwigulu anaweza kushitakiwa japokuwa anaweza kusema alikuwa anawatania CHADEMA. Pitia hii link tafadhali

  Spoof SMS Service. Send anonymous SMS from any number or name - SMSGang.com


  note. Feel free yo use our anonymous SMS jokes database for spoofing, but don't send illegal text messages, we keep all informaton about you.
   
 2. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #2
  Jul 24, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Aha! jamaniiiiii kweli dunia ni kijiji kimoja sasa. mwingulu hana muda mrefu atapote vibayaaaaa.....
   
 3. Kakulwa P

  Kakulwa P JF-Expert Member

  #3
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Inawezekana kabisa maana nimejitumia sms kwenye simu yangu Airtel ukaoneka umetoka kwenye namba yangu nyingine ya Tigo ukasomeka kana kwamba umetumwa toka namba hiyo.

  Hii pia ndiyo njia iliyokuwa inatumika 2010 wakati wa kampeini za uchaguzi zilikuwa zinatumwa sms ukiwauliza tcra hawakutoa majibu yoyote.

  Hapa MWIGULU na wenzake wameumbuka maana hata juzi wakati wanatoa tamko akiwa na NAPE walikuwa na wasiwasi sana huenda walishajua wamegundulika.
   
 4. w

  why JF-Expert Member

  #4
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 203
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kazi wanayo
   
 5. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #5
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  mimi nimejaribu, lakini kipengele cha pin ndo nimeshindwa kukipata, kwa kuwa sina master card. Umewezaje mkuu? Au umelipia kifurushi kimojawapo kwa hiyo master card?
   
 6. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #6
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  na je, ukienda kuchukua print out kwenye mtandao husika, imei namba ya simu itakayoonekana ni ipi? Ya simu uliyoihack au ya simu uliyotumia?
   
 7. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,730
  Trophy Points: 280
  Yaani huyu Mwigulu na AG waote vichwa vikubwa ubongo wa inzi.
   
 8. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #8
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Sasa mtumieni Mwiguli SMS kama elfu kumi mpaka aache kuringa na leso yake shingoni.
   
 9. N

  Ngandema Bwila JF-Expert Member

  #9
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nimejaribu inaniambia wrong picode! Hiyo picode ni ngapi?
   
 10. paty

  paty JF-Expert Member

  #10
  Jul 24, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,256
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  hiii kitu nzuri , hii kitu nzuri aisee, it works huuu huuu , ngoja nim-suprise wife. spoofing safi kabisa , ila kwa nia njema
   
 11. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #11
  Jul 24, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Huyu alifikiri tuna akili vilaza ka zake akataka kutuchezea ndo maana tukaamua kuanika mbinu zao chafu
   
 12. s

  sawabho JF-Expert Member

  #12
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Hivi ile leso ina maana gani, maana ni yeye pekee anayevaa leso ya bendera ya Taifa !!!
   
 13. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #13
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Kuna kitu anaficha kwa kujifanya mzalendo kwa sana.
  Huenda ni aelekezo ya Afisa nidhamu wake if you know what I mean.

   
 14. cedrickngowi

  cedrickngowi Senior Member

  #14
  Jul 24, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aisee,saaaaaafii saaaaaaana.I tried and it works.
   
 15. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #15
  Jul 24, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  njama zao za kuwashtaki na kuwafunga jela akina mnyika zimegonga mwamba...wakajikusanye waje na mpango mwingine wa kuwamaliza cdm
   
 16. s

  sawabho JF-Expert Member

  #16
  Jul 24, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,504
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Nakuunga mkono Mkuu, labda kweli ni maelekezo kutoka kwa "Kamati yake ya Ufundi". Uzalendo sio kwa kujitangaza, bali matendo.
   
 17. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #17
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Vijana technolojia ni yenu,
  muitawale muitumie,
  kuleta mabadiriko.

  Hawa Nunda bado wameikumbatia jana,
  waonyesheni kwamba,
  umri wenu ni mdogo,
  lakini kazi yenu ina umri na chumvi nyingi.

  Muda wa kujificha nyuma ya mambo ya kutunga,
  umekwisha,
  Ni wakati wa kukabiliana na ukweli uso kwa uso,
  Ya mafichoni kuwekwa hadharani,
  Ya kizani kutiwa nuru.

  Wakati ni huu.
   
 18. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #18
  Jul 24, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Aiseee! kweli Mabwepande wanges* kumbe ndio mambo yao ya kitoto hivi?
  Nimeitry imefanya kweli!
  Big-up[MENTION] ntamaholo
  [/MENTION]
   
 19. M

  Mohamed Ngwasu JF-Expert Member

  #19
  Jul 24, 2012
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 304
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipsuprise kwa pincode zako nimeshindwa pata pincode. hawa vilaza leo wapande tena kujibu hili w w w kab s zao.
   
 20. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #20
  Jul 24, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,144
  Likes Received: 2,104
  Trophy Points: 280
  bado sijafahamu imei namba itakayoonekana ni ya nani kati ya namba inayoonekana kutuma na simu iliyotumika kutuma ujumbe
   
Loading...