Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 14,813
- 32,703
Ebwana wanaJF Mzuka!
Katika bunge la utawala uliopita mbunge wa Iramba Kaskazin ambaye sasa hiv ni wazir wa mambo ya ndan mzalendo ndugu Lameki Mwigul Nchemba alitutukana wapinzan bungen tusi baya sana la kiingereza Fak Yu tena bunge lilikuwa live na akapongezwa na kushangiliwa na hakuna hatua yeyote aliyochukuliwa. Ikumbukwe hakuna aliyemprovoke had akatoa matus haya ya nguon.
Sasa kwa nini Sugu wetu anaandamwa na kupewa adhab kwa kuonyesha kidole cha kat na hii ni baada ya yeye kutukanwa? Sisi wote ni watanzania bana!
Napenda kutoa shukran na pongez kwa ndug Nchemba kwa kupewa wadhifa nyet ambao akiamua kumtafuta ama kumtrace yeyote dunian Kwake ni kit kidogo sana. Mim ni kat ya wat wanaomkubalil. Mungu akulinde katika majukumu yako. Mimi ni mbeba boksi tu wa kawaida ninaeish kwa kipato halal msije mkanifuata hukuhuku nilipo na plaisi mkaniminya.