Mwigulu Nchemba adaiwa kununua jina kama Kigwangalla

Kazibure

Member
Oct 25, 2010
16
3
Katibu wa Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba anadaiwa kununua jina la msukuma mmoja anayeitwa hilo wakati wa kwenda kidato cha kwanza.

Inadaiwa huyo mwenye jina la Mwigulu yuko maeneo ya Shinyanga ambapo bwana huyo alimuachia nafasi ya kwanda kidato cha kwanza kwa kutumia jina hilo baada ya yeye kuwa amefaulu kwenda kidato cha kwanza na kukosa uwezo kama ilivyokuwa kwa Andrew Kigwangala.

Mwenye data zaidi kama anazifahamu atumwagie wana JF, mie nimezipata juu kwa juu toka kwa Mzee mmoja ambaye anamfahamu vizuri lakini data hakuzimwaga sawaswa.
Nawasilisha JK.
 
Vp mwaka huu umefanikiwa kutimiza ndoto na mipango yako? maana mwaka unaisha. Acha kufuatilia watu tengeneza historia yako.mia
 
Wewe unakuja na habari zako hafifu na za kichina halafu unatuambia sisi tuzibariki. Ishia huko!
 
Haina shida, kama alifanya mitihani mwenyewe na akashinda baada ya kutumia jina hilo.mbaya ni kama alishindwa huko mbeleni afu akatumia jina la aliyeshinda hususani kuamzia kidato cha 4

pole
 
Katibu wa Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba anadaiwa kununua jina la msukuma mmoja anayeitwa hilo wakati wa kwenda kidato cha kwanza.

Inadaiwa huyo mwenye jina la Mwigulu yuko maeneo ya Shinyanga ambapo bwana huyo alimuachia nafasi ya kwanda kidato cha kwanza kwa kutumia jina hilo baada ya yeye kuwa amefaulu kwenda kidato cha kwanza na kukosa uwezo kama ilivyokuwa kwa Andrew Kigwangala.

Mwenye data zaidi kama anazifahamu atumwagie wana JF, mie nimezipata juu kwa juu toka kwa Mzee mmoja ambaye anamfahamu vizuri lakini data hakuzimwaga sawaswa.
Nawasilisha JK.

Upuuzi mtupu, jadili issues si watu
 
Huna tofauti na wamama wa uswahilini.
Huu si wakati wa kujadili umbea
 
lakini mkuu mbona kalitendea haki jina hilo kama angekuwa amefeli basi tungemsema hovyo ila kalitendea haki sana tu sioni shida..
 
Huyo kachukizwa na yaliyotokea Igunga na jinsi Mwigulu alivyoharibu pati.
 
Mtatunga hadithi sana muda huu ili mjipe moyo kwa kichapo cha igunga!
Na bado
 
Back
Top Bottom