Mwigulu Mnchemba leo tu kanifurahisha bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwigulu Mnchemba leo tu kanifurahisha bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kimbojo, Jul 15, 2011.

 1. Kimbojo

  Kimbojo JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2011
  Joined: Apr 12, 2009
  Messages: 387
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwigulu Mnchemba leo bungeni kauliza swali la nyongeza zuri saaana kuliko alivyokuwa anoamba miongozo ya ovyo ovyo kwa spika siku za nyuma. Kauliza hivi; Kwanini serikali isichukue hatua za kidharura ili kubadili kanuni za manunuzi kama ingeweza kufanya hivyo endapo nchi itavamiwa na kuingia vitani ili kununua mitambo ya kuzalisha umeme nchini? pamoja na Adam Malima kujibu , Waziri mkuu alisimama kuongezea majibu.

  Kwakweli leo kaosha kuliko siku zzzote alizakaa bungeni. ameanza kuwa kijana bungeni.
   
 2. b

  bulunga JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nasikia harufu ya KIFISADI tena, hii move ilikuwa planned before, mambo yaleyale mambo ya DHARURA kupindisha sheria , ku justify ununuzi wa mitambo chakavu, inaoekana kuwa hiyo mitambo iko earmarked tayari
   
 3. mulambakao

  mulambakao Member

  #3
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeah yeah, look at this, kama tukitunga katiba,sheria zikawa zinaeleweka kiuchumi na kila kitu hatutakuwa na haja ya kuvunja kanuni very soon, hili swala la kanuni za manunuzi siyo la miaka ya tisini wala nyuma, only a couple of years, watu ni haohao they acted upon vehemently, sasa kubadilisha tena ili ufisadi uhalalishwe! Damn.
   
 4. c

  chief m Member

  #4
  Jul 15, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwigulu ni mtu makini, mwaswali na hoja zake huwa makini, kumbukeni wakati anachangia matokeo ya mtihani aliongea vizuri sana, pia alichangia kuhusu walimu na wanafunzi wawekwe kambini ili kuwe na fursa, pia alichangia wanachuo kukopa kwa kutumia vyeti kama dhamana and many other points
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu sheria ya manunuzi ya umma ya mwaka 2004 inaruhusu ununuzi wa dharura kwa lugha ya walami: Emergency Procurement na kuna taratibu za kufutwa kisheria. Na kwa sasa kwa TAnzania ukosefu wa umeme si dharura tena. Hakuna dharura ya miaka 5 Mkuu!!
   
 6. COMPLICATOR2011

  COMPLICATOR2011 JF-Expert Member

  #6
  Jul 15, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 255
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 33
  Nachukia Ufisadi: Matusi, Uongo, Tetesi na Majungu pia ni Ufisadi; Tujitenge Navyo
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Sasa malima alisemaje????
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu hilo tu basi? Au technolojia inakupa tabu?
   
Loading...