Mwigulu Mchemba yupo hapa Arusha

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
5,182
2,304
Bila shaka huyu bingwa wa matusi amentangulia mwenzake Livingstone Lusinde kuja kumalizia kampeni za udiwani kwa namna ile ile waliyomalizia kule Arumeru na hatimaye kufanikisha dogo janja kushinda.

Naomba nikupe tahadhari mkuu, ya Igunga yaishie Igunga na incase umezidiwa basi fika mitaa ya Mrina annex pale golden rose nyakati za jioni.

Ila pia pima kina cha Kampeni kwanza kabla ya kujiingiza kichwa kichwa kwani mziki ni mzito sana yasikupate yaliyompata Maalim seif.
 
Nimemwona mimi mwenyewe sasa hivi akiingia bureau de Change hapa mtaa wa Goliondoi
 
Maalim Seif yamempata yepi huko hebu tujuze?
 
Msije mkahatarisha usalama huko kwa ajili ya mtu ambaye hana mantiki
 
nimemuona kijenge leo anapiga compain yupo na watu kama selasini kati ya hao ni wafanya biashara ambao wapo kwenye maeneo yao
kwa ujmla jamaa kalost ile laana.
hii chuga jombaa,watu walisha aamka long time.
ila hajakosa mabwege wachache wale buku sabasaba...aaaah alikuanao mbona,
!
 
Nimemwona mimi mwenyewe sasa hivi akiingia bureau de Change hapa mtaa wa Goliondoi

Mkuu hata mimi nimekutana naye mitaa hiyo hiyo akipanda gari.
Amekuja kuwadanganya watu wa Arusha ambao hawadanganyiki, manake anazurura na yule kijana waliomwagia tindikali wenyewe sasa anawahadaa watu wa Arusha eti ni siasa za vyama vya maandamano!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom