Elections 2010 Mwigulu Madelu ni Mbunge na mjumbe wa CCM CC!!!!!!!!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
moja ya sababu za ccm kudai kujivua gamba ilikuwa ni kutofautisha kazi za kichama na za serikali........lakini kama ilivyo kwa JK, na makamu wake Pinda, Spika na naibu wake raisi wa zanzibar na makamu zao, waziri kiongozi (SMZ), meghji na wengineo......ambao wapo serikalini kwa kiguu kimaja na kingine ndani ya chama na huyu Mbunge wa iamba magharibi naye ni Katibu wa Uchumi na Fedha Taifa, na sasa cc imempa kazi ya kuogoza mashambulizi ya chaguzi ndogo ya kumrithi Rostam Aziz kule Igunga............................

Maswali yanayojitokeza ni pamoja hivi lengo lilikuwa ni la kituashi au ni siasa za kukomoana tu???????????????

yaani ccm kwisha habari yake, wanamtuma mtu ambaye hata baadhi ya magambaz wanampiga vita, afadhali wamtume chadema tuchukue jimbo kirahisi

moja ya sababu za ccm kudai kujivua gamba ilikuwa ni kutofautisha kazi za kichama na za serikali........lakini kama ilivyo kwa JK, na makamu wake Pinda, Spika na naibu wake raisi wa zanzibar na makamu zao, waziri kiongozi (SMZ), meghji na wengineo......ambao wapo serikalini kwa kiguu kimaja na kingine ndani ya chama na huyu Mbunge wa iamba magharibi naye ni Katibu wa Uchumi na Fedha Taifa, na sasa cc imempa kazi ya kuogoza mashambulizi ya chaguzi ndogo ya kumrithi Rostam Aziz kule Igunga............................

Maswali yanayojitokeza ni pamoja hivi lengo lilikuwa ni la kituashi au ni siasa za kukomoana tu???????????????

Kwani Mwigulu ana kazi gani serikalini?

fafanua kwa mapana tafadhali....

Jamani humu watu wanatakiwa waweke mambo hadharani ili tuyajadili kwa mapana na marefu. Sasa unakuta mtu anaweka post haieleweki sijui ya mafumbo utadhani mafumbo ya taarabu!! Fafanua watu tuelewe tuhabarishane.

Hii hoja haina mshiko kabisa ....hebu elezea kidogo...namfahamu Mwigulu vizuri...unataka kusema nini tukusaidie

lime ni piss off kweli hilo jamaa, yakiona maslahi yao yanaguswa basi yanakimbilia kuganganyishia usalama wa taifa pumbaaaaf saaaaana.tutaandamana mpaka tuwatimue madarakani!!!

Hii hoja haina mshiko kabisa ....hebu elezea kidogo...namfahamu Mwigulu vizuri...unataka kusema nini tukusaidie

nafurahi umesema unamfahamu vizuri, majina mwigulu madelu nchemba yana asili ya kabila gani mkuu.

wanyiramba

wasukuma wanadai ni mjina asili yao, unaweza kuwapinga kwa hoja, fafanua koo za kinyiramba kabla hoja ya wasukuma haijathibitisha.

moja ya sababu za ccm kudai kujivua gamba ilikuwa ni kutofautisha kazi za kichama na za serikali........lakini kama ilivyo kwa JK, na makamu wake Pinda, Spika na naibu wake raisi wa zanzibar na makamu zao, waziri kiongozi (SMZ), meghji na wengineo......ambao wapo serikalini kwa kiguu kimaja na kingine ndani ya chama na huyu Mbunge wa iamba magharibi naye ni Katibu wa Uchumi na Fedha Taifa, na sasa cc imempa kazi ya kuogoza mashambulizi ya chaguzi ndogo ya kumrithi Rostam Aziz kule Igunga............................

Maswali yanayojitokeza ni pamoja hivi lengo lilikuwa ni la kituashi au ni siasa za kukomoana tu???????????????

Mkuu Ruta mbona umetuacha solemba? Mbona hufafanui au haupo hewani? Jitokeze basi ili uiokoe mada yako mkuu.

Back
Top Bottom