Mwigulu,KIgwangalla,Gulamali na Diwani wa kata ya Shimbo Wanamuunga MKono Magufuli kwa Push Up

Mr Chin

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,625
1,024
12047141_429451910590376_8969802085456891_n.jpg
Mwigulu,KIgwangalla,Gulamali na Diwani wa kata ya Shimbo wakionesha Uimara wao wa kiafya "Wanamuunga MKono Magufuli kwa Push Up"
 
Ikulu sio GYM... Hao wazee wanatafuta umaarufu kwa vijana.. Vijana wote wa Tamzania kura zetu ni kwa Lowasa tu
 
CCM imesababisha ukosefu wa ajira kwa vijana,, umasikini ,elimu duni.... CCM lazima iachie madaraka..imewanyonya watanzania vya kutosha..ni wakati wa mabadiliko huu..kura zote kwa lowasa
 
Ikulu ya babaako ndio hakuna gym bali hospitali.

CCM imetunyonya vya kutosha..vyeo wanapeana ndugu na watoto wao.. Watoto wa masikini wanateseka bila msaada wowote..Mwaka huu ccm tunaipiga chini...Imetunyanyasa vya kutosha sisi Watanzania wanyonge
 
Wanajisumbua bure??????kura za vijana ni Ukawa?....hata mikutano yao ikijaa ni kazi bure?????
 
CCM imesababisha ukosefu wa ajira kwa vijana,, umasikini ,elimu duni.... CCM lazima iachie madaraka..imewanyonya watanzania vya kutosha..ni wakati wa mabadiliko huu..kura zote kwa lowasa
Wewe ni dhaifu wa akili ndio maana umeshindwa kujiajiri.
 
Magufuri ni creater mzuri sana ..yuko flexible na ndo maana nec walimchagua ..leo kaja na ya funguo tatu za kufuri yaani rais, mbunge na diwani
 
Mbona ma.atako yako juu... wanafanyaga nn..?

Hawa sio wazima kabisa.... wanapakuliwa nn..?
 
Kweli tunatakiwa tuambiwe ni nini maana ya mambo haya. Hivi kupiga pushap hizo zinanisaidia nini mimi? Jamani, mbona mnafilisika kipuuzi hivyo??
Badala hata kutuambia huu umeme mna mpango gani nao mnaenda kufurama hadharani?? What is this?? Hivi huko nje wanatuonaje jamani?? Ati rais anaenda kufurama mbele za watu na ulimwemgu mzima unamwangalia, halafu vichaa wengine wanamuunga mkono.
Kama kura ndo mnataka, mmezipata. Sisi sio kina Mayweather. ccm kwisha, kwisha kabisaaa, mlalo wa chaliiii, ndembe ndembeeee
 
Mbona ma.atako yako juu... wanafanyaga nn..?

Hawa sio wazima kabisa.... wanapakuliwa nn..?

Hahahaaaa humjui anayepakuliwa? Ni yule anayeshindwa kuzuia kinyesi kisitoke mpaka anaenda kubadilisha nguo ndio aendelee kuhutubia,huyo hatufai banaa,akiwa kwenye mkutano UN atatuaibisha. Kura zetu zoooooooote kwa mtu aliye fit,kama hamjui Ikulu kuna GYM ulizeni msiropke ila hakuna wodi ya wagonjwa pale. Peleka Muhimbili akachekiwe tundu lina athari gani
 
Back
Top Bottom