Mwigulu katika kashfa nzito: Atuhumiwa kutumiwa na mkewe kwa maslahi binafsi

Hili lichama limejaa watu wa ajabu mno.

Yako busy kubambikia watu kesi badala ya kushughulika na mambo ya msingi.

Utashangaa hili gazeti linaweza fungiwa.

CCM si chama cha siasa bali ni kikundi cha watu wachache kwa masilahi yao.
Wanatia hasira sana hawa jamaa,Nyerere angeyajua haya bora angewaacha Waingereza waendelee kututawala
 
Huyu Madelu anaweza asidumu kwenye hiyo nafasi yake!

Huyu Bi. Mkubwa wetu muda si mrefu anaweza akamuengua jamaa.
Huyu atadumu tu! Amewekwa pale siyo kwa ubora wake bali kwa malengo ya waliomuweka. Kuna kazi inabidi umpate mwenye akili ya aina fulani.

Kiutaalamu Mwigulu hamzidi Mkenda au Kimei walio practice uchumi kwa miaka mingi. Iweje Mwigulu apewe Wizara muhimu hii na Mkenda apewe Kilimo?
 
Ni ngumu sana kwa hilo gazeti 'kubalance story' lakini anaezungumziwa kunamaswali mengi sana yakujibu huku muda ukiwa haumtoshi.
 
Hili lichama limejaa watu wa ajabu mno.

Yako busy kubambikia watu kesi badala ya kushughulika na mambo ya msingi.

Utashangaa hili gazeti linaweza fungiwa.

CCM si chama cha siasa bali ni kikundi cha watu wachache kwa masilahi yao.

gazeti la jenerali hilo, wanaandikaga pumba balaa bora mwananchi na nipashe
 
Mimi mpaka leo sijawahi kuelewa kwanini Mwigulu alipewa wizara nyeti Kama hii ya fedha. Wakati utatoa majibu
 
Napitatu TU NIKOKWA
kUHANI MUSA R MWACHA
NAMALIZIA KUJIPAKA MAFUTA NAONA HUKU HAYA REDION TUJIKINGE TV MITUNGI HAITOSHI AISEE KAZIIPO HAPO BADO 25 KIGOMA MTATUMALIZA KABISA
 
Utawala wa JK kila uzushi alitupiwa Ridhiwani, utawala wa Magu alikuwa Makonda, naona utawala wa Samia ni Mwigulu, waTZ tuna shida sana
Usitutoe kwenye reli. Mwigulu hafai kuwa waziri wa wizara technical labda mumtafutie wizara butu au kama mnapenda sana basi wana Iramba tumewaachia mumchague awe mbunge wenu hadi mauti

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom