utukufu mwanjisi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 2,830
- 2,417
Leo katika kipindi cha asubuh Clouds Tv kinachoendeshwa na hassan ngoma na bebi kabae mweshimiwa waziri wa mambo ya ndani wa zamani Hon. Mwigulu nchemba amelizwa swali na Hassan ngoma.
Ngoma; mweshimiwa nchemba unaliongeleaje suala la wabunge wanaoleta hoja bungeni kuhusu suala la rais kuongezewa muda wa kukaa madarakan.
Hon.Mwigulu; ngumu kukubaliana nalo kwa maana fulan
Ngoma; kwa hiyo msimamo katika hili ni upi kutoka kwako
Hon.Mwigulu; kwangu mimi ni ngumu kukubaliana na hilo mana sio muda mrefu katika mchakato wa katiba nilisimama bungeni na kulikataa hilo haraf leo nije na maneno ya kukubaliana na hilo wananchi wangu wataniona sina msimamo na siwez kusimamia kile ninachokiamin
MY TAKE :nazan wabunge wanaoleta hili wana wasiwasi mana hawajafanya kitu majimboni mwao ko wanataka kuteleza na upepo wa Rais haswa bwana Juma Nkamia sasa nadhan ni wakati wa kuanza kutembelea majimbo yao na kuleta mrejesho hapa
Sent using Jamii Forums mobile app