Mwigulu: Jeshi limeapa na kuahidi mbele ya chama (CCM) kukilinda mpaka kufa!

Deus F Mallya

JF-Expert Member
Jul 28, 2011
705
440
Huu ndio msimamo wa CCM?

attachment.php

attachment.php


Mwigulu Nchemba

Mkutano mkuu wa UVCCM Iramba wafana kwa kuchagua MKT na wajumbe mbalimbali. Jeshi limeapa na kuahidi mbele chama cha mapinduzi kukilinda mpaka kufa
 

Attachments

  • mwigulu.jpg
    mwigulu.jpg
    66.5 KB · Views: 6,833
  • responses.jpg
    responses.jpg
    73.7 KB · Views: 6,785
Ni vyema sana maana kazi itakapokwisha tutakuwa tumefuta uozo wote (policcm na magamba yao)
 
Hata ukitumia silaha nzito kiasi gani huwezi kupambana
na nguvu ya umma. Tuombe Mungu siku zote Watanzania
waendelee kuwa wavumilivu na wenye imani kwa kuwa hii
ni nchi ya imani (si yaa amani tena kama tulivyozoea), na
siku wakisema wamechoka sidhani kama kuna kitakachowazuia
wasifanye watakacho. Nadhani jambo la msingi kwa wanaCCM
ni kujivua gamba na kuanza maisha mapya ya kuwatumikia
wananchi na si kuleta vitisho, propaganda, chuki dhidi ya wengine
wala kushabikia mauaji ya polisi kwa raia...
 
Sasa tendwa alikuwa anabisha nini? Alikuwa anajikosha tu juzi kwenye kipima joto ITV. Alisema kama Bububu mkutano ulienda vizuri lakini Nyololo ikawa tabu basi Polisi walivunja sheria na akasema Polisi haiitumikii CCM. Sasa Polisi (Mbwa wa Tajiri) ambao wanaamrishwa ''''kamataaaaaaa na kukamata paispo kuhoji kama wa kukamatwa ni mhalifu maana yake nini? Kwa hiyo haina maana hata ya Polisi na vyama kukutana na vyama vya Upinzani maana iko wazi Polisi ni wa CCM na wauaji ni CCM full stop. Mungu nihamishe nchi hii nipeleke kwingine na unifutie memory yangu ya kinachotendeka nchini!!!
 
attachment.php


Kinachoniudhi ni baadhi ya wana ccm kuvaa jezi ya YANGA katika mikutano ya chama as if ndo bendera ya CHama aghhhhhhhhhhh. Watatufanya tuhamie Kagera Sugar au Azam bana.
 
mmmmmh duh kweli bado.tupo wazima tu?
Walio kuka kiapo ni wakuu wa majeshi si jeshi lenyewe na muda wowote ule wanaweza geukwa.
They force to be in power lets wait and see what will come next
 
mmmmmh duh kweli bado.tupo wazima tu?
Walio kuka kiapo ni wakuu wa majeshi si jeshi lenyewe na muda wowote ule wanaweza geukwa.
They force to be in power lets wait and see what will come next
Jeshi letu sio kama la zamani
Ni profesional army watadeal naye kama walivyomfanya EL. Hakuna mwanajeshi anayekubaliana na mambo yao hata kidogo amuulize luhanjo ilikuaje 2008 na JK last year.
 
Back
Top Bottom