First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,310
- 1,473
Juzi tarehe 23 majira ya SAA nne asubuhi gari la polisi la Tandahimba liligonga gari la mpita njia Fulani maeneo ya lidumbe NEWALA mkoani Mtwara...
Gari la polisi lilikuwa lilikuwa linajaribu kuliovertake gari lingine kimakosa hadi kusababisha ajali mbaya sana lililosababisha gari la polisi kuharibika vibaya sana na kwa taarifa isiyo rasmi inasemekana moja ya majeruhi hao ambao ni askari amefariki akiwa hospitali ya NDANDA.
Kibaya zaidi ni kwamba gari la polisi halikuwa kwenye doria ya aina yoyote bali lilikwenda Newala kuchukua beer za moja wa maaskari hao mwenye baa yake Tandahimba....
Picha hapa chini inaonyesha jinsi gari hilo la serikali lilivyoharibika vibaya na jinsi pombe ilivyozagaa.
Huu si mchezo wa Mara moja ila ni kawaida kabisa ila wanasema mwisho wa ubaya huwa ni aibu.