OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,160
- 103,600
Miaka ile Mwigulu anaibukia kwenye siasa za majukwaani iliwahi kutokea kesi nzito sana. Kesi hii ilihusisha kamanda wa Chadema Mh.Lwakatare kupanga njama za kuua.
Kesi hiyo ilisindikizwa na video iliyoletwa mitandaoni na kina Mwigulu ikionyesha wakipanga mauaji. Katika kutia msisitizo Mwigulu alisema yupo tayari kutoa ushahidi hata mbinguni. Wenye akili zetu tulijua mchezo waliofanya kina Mwigulu kutengeneza video za uongo katika kuichafua Chadema.
Miaka kadhaa badae Mwigulu ametengeneza picha za uongo na kudhalilisha taifa. Hazina tofauti na picha za uchi-pono.
Nawakumbusha tu Mwigulu hajaanza leo kutengezena uongo mitandaoni