Mwigulu hajaanza leo kutengeneza picha za uongo,alitengeneza video ya Lwakatale kupanga mauaji

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,094
103,330
Miaka ile Mwigulu anaibukia kwenye siasa za majukwaani iliwahi kutokea kesi nzito sana. Kesi hii ilihusisha kamanda wa Chadema Mh.Lwakatare kupanga njama za kuua.

Kesi hiyo ilisindikizwa na video iliyoletwa mitandaoni na kina Mwigulu ikionyesha wakipanga mauaji. Katika kutia msisitizo Mwigulu alisema yupo tayari kutoa ushahidi hata mbinguni. Wenye akili zetu tulijua mchezo waliofanya kina Mwigulu kutengeneza video za uongo katika kuichafua Chadema.

Miaka kadhaa badae Mwigulu ametengeneza picha za uongo na kudhalilisha taifa. Hazina tofauti na picha za uchi-pono.

Nawakumbusha tu Mwigulu hajaanza leo kutengezena uongo mitandaoni
 
Mwigulu hana lolote ni Kiongozi wa hovyo sana! Anajifanya muungwana akiwa na wewe na kujichekesha chekesha lakini ni mtu
Miaka ile Mwigulu anaibukia kwenye siasa za majukwaani iliwahi kutokea kesi nzito sana. Kesi hii ilihusisha kamanda wa Chadema Mh.Lwakatare kupanga njama za kuua.

Kesi hiyo ilisindikizwa na video iliyoletwa mitandaoni na kina Mwigulu ikionyesha wakipanga mauaji. Katika kutia msisitizo Mwigulu alisema yupo tayari kutoa ushahidi hata mbinguni. Wenye akili zetu tulijua mchezo waliofanya kina Mwigulu kutengeneza video za uongo katika kuichafua Chadema.

Miaka kadhaa badae Mwigulu ametengeneza picha za uongo na kudhalilisha taifa. Hazina tofauti na picha za uchi-pono.

Nawakumbusha tu Mwigulu hajaanza leo kutengezena uongo mitandaoni
Mwigulu ni mtu wa hovyo sana! Ni mtu unayeweza kudhani ni muungwana na mstaarabu sana kama humjui!
Ni mtu mbinafsi,mpenda sifa na mchoyo sana halafu hana "concentration" kwenye mambo ya msingi!
Hongera Rais Magufuli kwa kushtukia "upopo" wake mapema!
Prof.Kitila Mkumbo 2020 Singida Magharibi Oyeeee!
 
Back
Top Bottom