Mwigulu: CRDB ni kiongozi wa Mabenki mengine Tanzania

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,113
7,688
Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba ameyasema hayo kwenye uzinduzi wa sherehe ya ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Benki ya CRDB Jijini DSM.

Waziri amesema CRDB ndio Bank pekee iliyo itikia wito wa BoT wa kupunguza RIBA.

Ushauri;
NMB Badilikeni.....acheni kufanya kazi kwa mazoea igeni CRDB
 
Huyu waziri wa fedha ni kilaza kweli kweli! CRDB inaongoza mabenki mengine kwa lipi? Kama ni mtaji, market share au profiatability (divend declaration) NMB inawashinda Hawa kwa mbali kabisa!
Samia kumpa Huyu uwaziri wa fedha amelamba gharasha!
 
CRDB ni Benki mbovu na ya kishamba na kipuuzi kabisa
I regret Banking with these people.
The worst Bank.
Haiwezi kusurvive free Market. Structurally bogus.
Poor infrastructure and the worst customer services.
Hii Benki ni ya kifala.
 
CRDB ni Benki mbovu na ya kishamba na kipuuzi kabisa
I regret Banking with these people.
The worst Bank.
Haiwezi kusurvive free Market. Structurally bogus.
Poor infrastructure and the worst customer services.
Hii Benki ni ya kifala.
Branch gani mkuu to be more specific?
 
Bank zinafanyakazi kiushindani, sasa yeye kufungamana moja kwa moja na kutamka hayo maneno ni Sawa kweli?
 
Back
Top Bottom