Mwigulu aufukuza uongozi wote machinjio ya Ukonga. Akuta ng'ombe 200 wakichinjwa bila kibali

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,599
6,669
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi ameufukuza uongozi wote machinjio ya Ukonga.

- Atua usiku wa Manane na kukamata ng'ombe 200 wakichinjwa bila kibali

62496cf2cf4af03c5b922dcd92894e71.jpg

6768a941204e8622473858108a22f122.jpg

Namnukuu:

"Ukonga Mazizini kwenye Machinjio usiku huu, safari ya kupambana na kuwakamata wanaohujumu kodi/mapato ya serikali.

Nimekamata ng'ombe 200 wakiwa wanaingizwa kwenye machinjio bila kibali halali, ni ng'ombe 20 tu kati ya hao 200 ndio wana kibali cha kuchinjwa.
Kwa maana hiyo ushuru wa ng'ombe 180 umekwenda mifukoni mwa watumishi waovu na wenye lengo baya dhidi ya serikali yetu.

4fd8d24e277e146065016179b152d1f4.jpg

Hivyo basi, nimewasimamisha kazi kuanzia mkuu wa mnada wa Pugu ambaye siku si nyingi aliaminiwa na serikali na kupewa jukumu ili aongoze mnada huo, watumishi wote waliotajwa kwenye ubadhilifu huo, wakati huohuo kuanzia usiku huu nimeagiza kwa vyombo vya dola watumishi hao wakamatwe na wafikishwe mahakamani haraka iwezekanavyo.

Hatua nyingine za kiofisi zinaanza kutekelezwa kesho."
 
Kwani uongozi wa Manispaa una kazi gani? Yaani hapa kuanzia Afisa mifugo wa Manispaa, Afisa biashara na wengine nao watimuliwe hawana kazi.

Hivi uongozi wa Manispaa una kazi gani hapo? Kuanzia Mkurugenzi, Afisa mifugo wa Ilala,Afisa biashara na wengine nao ni majipu yatumbuliwe tu.
 
Kwahiyo hivyo vyombo vya habari navyo vilikuwa vimeandaliwa?
Na wewe acha kutufedhehesha wapinzani!hujui kuwa tuna haki ya kupata habari?tena ingewezekans ilitakiwa iwe live on TV!tuuchukie CCM lakini wanapofanya vyema tuwapongeze na kujiunga nao kujenga nchi.
Mwigulu na watendaje wenzake wanao hustle ktk kuweka sawa nchi hawafanyi kwa ajili ya wana ccm balu kwa sote.
Hata kama wanatafuta kick it is a win win situation watapata kick na nchi itafanikiwa wherevthe biff hapo?
 
Naona Serikali inapambana na mfumo, na naona kuja haja ya kuweka mfumo ili ufanye kazi bila kutegemea MTU, kuna haja ya kunyonga watu hadi kufa kwa kuhujumu nchi, hivi hivi hatutafika popote.
Watanzania tuache kukariri,haya ni madhara ya kuigilizia,mambo ya kuigilizia utajikuta unaigilizia kwa mtu ambaye hayuko sahihi,hivi ukiulizwa mfumo ni nini utajibu nini?
Hivi huu mfumo unakamilika baada ya kutoa hukumu ya kifo?
 
Hivi uongozi wa Manispaa una kazi gani hapo? Kuanzia Mkurugenzi, Afisa mifugo wa Ilala,Afisa biashara na wengine nao ni majipu yatumbuliwe tu.
ingependeza kama Mtatiro angekuwa mwakilishi, lkn pia natashangaaa kama diwani na meya wa eneo hawakuwepo, wanamwachia waziri, itakuwa uzuzu
 
nishaanza kuichukia hii ya kushtukiza!mnadili na watu tu evry day,badala ya kuufumua mfumo wote wa utumishi na kisha kuusuka vizuri,ili watenda maovu wadeletiwe na mfumo wenyewe!wataweka mtu mwingine hapo halafu kesho ataharibu na mwishowe wamtumbue...it is a vicious cycle of unendless stupidy
 
Hivi uongozi wa Manispaa una kazi gani hapo? Kuanzia Mkurugenzi, Afisa mifugo wa Ilala,Afisa biashara na wengine nao ni majipu yatumbuliwe tu.
Mleta mada kaleta uongo janvini, anafanya jf kijiwe cha story za ulongo ulongo,
 
Kwahiyo hivyo vyombo vya habari navyo vilikuwa vimeandaliwa?
Acha kuwa kihiyo we bwa'mdogo...you need to send the message across..lazima watu wajue kuwa ukifanya upuuzi unashushiwa nyundo...na jinsi pekee ya kupata huu ujumbe ni kupitia vyombo ya habari...
 
Huo wizi unaratibiwa na watu toka wizarani...kuanzia wakurugenzi nk.
Kwa hiyo ukipelekwa tu pale mtu mpya unaitwa wizaran kupewa direction ya namna ya kupeleka bahasha zao kila mwisho wa week
 
mbona hawa jamaa kiburi sana!? si bandari si muhimbili. inabidi tuongeze mbano vinginevyyo itakuwa Tom na Jerry hadi 2020. sehemu pakipatiwa ufumbuzi kosa halitakkiwi kurudiwa.
 
nishaanza kuichukia hii ya kushtukiza!mnadili na watu tu evry day,badala ya kuufumua mfumo wote wa utumishi na kisha kuusuka vizuri,ili watenda maovu wadeletiwe na mfumo wenyewe!wataweka mtu mwingine hapo halafu kesho ataharibu na mwishowe wamtumbue...it is a vicious cycle of unendless stupidy

Hivi ukishaufumua mfumo ukauweka mfumo mwingine halafu unaweka nini ? nyani wafanye kazi? au mfumo unatumikiwa na vipepeo?
 
Back
Top Bottom