Mwigulu: Aliyemtishia bastola Nape sio Polisi

Hakuna msukuma wa kunishangaza awamu hii.

Mimi ni mtetea haki za watu.
Na ni haki za aina zote.
Hata kuwa mjinga, kuwa msukule, kuwa shoga, kuwa fan wa Mange, na kadhalika, zote ni haki zako.
Hivyo una haki ya kuwa fan wa Mange. Una haki ya kuwa mjinga kama unapenda. Una haki ya kuwa mpumbavu kama unataka, n.k.
 
Kama kuna watu ndani ya chama cha mapinduzi waliokuwa wanatamani Mwigulu apewe nafasi ya kugombea urais kupitia ccm, miongoni mwao ni Mimi. Hakika Mwigulu alikuwa anaaminika kwa wanachama wengi hapa Lumumba, ila hili suala la Askari aliyemnyoshea bastola nappe na namna Mwigulu anavyoogopa kulifanyia kazi huku akitoa maelezo ya kupindapinda tena yaliyojaa woga ni dhahiri kuwa ameuthibitishia umma Wa watanzania kuwa ni mtu asiyeweza kusimama kwenye ukweli

Tunawashukuru wale wazalendo na wenye uchungu na hii nchi wasiopenda kuona Tanzania inageuzwa kuwa Tanzagiza as akina Mwigulu, kwa namna wanavyoendelea kuwaanika wale wote waliohusika katika tukio like LA Nappe, hapa Mwigulu na kundi lake wanaona aibu
2020 twezetu na January Makamba
 
Ni wapi nimesema mimi ni fan wa Mange? Na ni wapi mimi nimeomba utetezi wako kwa namna yoyote ile?

Nadhani labda wewe ndio umechaguwa haki yako ya kuwa mjinga.

Ninasoma bila kucomment anayoyaandika Mange na ninao huwezo wa kufilter na nina vyanzo vyangu binafsi vya kuverify anayoyaandika huyo dada ni kweli ana insiders.

By the way kwa sababu wewe unaamini unajuwa zaidi wakati hujui lolote, watu kama Mange wanaweza kutumiwa hata na serikali yenyewe kwa future interest huku wengi mkiwa mmeshaaminishwa huyu ni radical anti goverment kumbe yupo kwenye Great mission

Kwa akili za Kibashite wala huwezi kuelewa nilichokiandika hapa.
 
Kumbe show ya nape ndivyo ilivyokuwa ingia page ya mange insta last post yake.dakika chache.zilizopita ujionee mambo
hali ni mbaya sana. kama mkuu anaweza Fanya haya tumekwisha, Ben saanane anaweza kuwa ndio siri ya ubashite wa hawa wawili
 
Kama kuna watu ndani ya chama cha mapinduzi waliokuwa wanatamani Mwigulu apewe nafasi ya kugombea urais kupitia ccm, miongoni mwao ni Mimi. Hakika Mwigulu alikuwa anaaminika kwa wanachama wengi hapa Lumumba, ila hili suala la Askari aliyemnyoshea bastola nappe na namna Mwigulu anavyoogopa kulifanyia kazi huku akitoa maelezo ya kupindapinda tena yaliyojaa woga ni dhahiri kuwa ameuthibitishia umma Wa watanzania kuwa ni mtu asiyeweza kusimama kwenye ukweli

Tunawashukuru wale wazalendo na wenye uchungu na hii nchi wasiopenda kuona Tanzania inageuzwa kuwa Tanzagiza as akina Mwigulu, kwa namna wanavyoendelea kuwaanika wale wote waliohusika katika tukio like LA Nappe, hapa Mwigulu na kundi lake wanaona aibu
2020 twezetu na January Makamba

Kumbeeeee ha ha haaaaaa mnaota kweli kweli

Ungeandika 2025 mjaribu, kwa sababu 2020 bado mnae Mh. Magufuli.

Umeonyesha kuwa hamumpendi Rais wetu anayewaonyesha njia nzuri, mnataka mrudi kwenye mazoea yale mabaya.

Kaa hapo mlie tu, na muache unafiki haraka kabla hamjaondolewa humo na kukimbilia upinzani.

Magufuli oyeeeeeee
 
Nyie mnachekesha,2020 mamvi keshachukua nchi,na nyie mnapindapinda kusema ukweli kama huyo mliemtaja!
 
Mkuu!

Mimi nazungumzia Ethics..! Kama watu wanakosea miiko ya kazi hata kodi itumike vipi haisaidii...?

Usiwaangalie Tiss vs wananchi wa Tz, waangalie Tiss Vs mataifa ya nje..

Hao ndo vijana tunaowaweka mbele wapiganie taifa dhidi ya jamiii ya kimataifa?

Kweli kwa utashi ule wa kijinga tutafika ?

Naangalia hili jambo kwa 3D..
.....
.....Asante sana Mkuu kwa jicho la 3D tumetembea uchi mbele ya watoto
 
Ni wapi nimesema mimi ni fan wa Mange? Na ni wapi mimi nimeomba utetezi wako kwa namna yoyote ile?

Nadhani labda wewe ndio umechaguwa haki yako ya kuwa mjinga.

Ninasoma bila kucomment anayoyaandika Mange na ninao huwezo wa kufilter na nina vyanzo vyangu binafsi vya kuverify anayoyaandika huyo dada ni kweli ana insiders.

By the way kwa sababu wewe unaamini unajuwa zaidi wakati hujui lolote, watu kama Mange wanaweza kutumiwa hata na serikali yenyewe kwa future interest huku wengi mkiwa mmeshaaminishwa huyu ni radical anti goverment kumbe yupo kwenye Great mission

Kwa akili za Kibashite wala huwezi kuelewa nilichokiandika hapa.

Teh teh teh...Ba Samira....mbona povu jingi hivo?

Usiku mwema basi...au vipi?

Msalimie Samira...mwambie anko Ngabu kam miss mbaya sana.
 
Ni wapi nimesema mimi ni fan wa Mange? Na ni wapi mimi nimeomba utetezi wako kwa namna yoyote ile?

Nadhani labda wewe ndio umechaguwa haki yako ya kuwa mjinga.

Ninasoma bila kucomment anayoyaandika Mange na ninao huwezo wa kufilter na nina vyanzo vyangu binafsi vya kuverify anayoyaandika huyo dada ni kweli ana insiders.

By the way kwa sababu wewe unaamini unajuwa zaidi wakati hujui lolote, watu kama Mange wanaweza kutumiwa hata na serikali yenyewe kwa future interest huku wengi mkiwa mmeshaaminishwa huyu ni radical anti goverment kumbe yupo kwenye Great mission

Kwa akili za Kibashite wala huwezi kuelewa nilichokiandika hapa.
.....
.....Salute
 
Back
Top Bottom