Mwigulu: Aliyemtishia bastola Nape sio Polisi

24be61e1534ae6420da02611b94fe2be.jpg
hii akaunt yake ya fb na ipo waz kachungulien had boss wake bashite kampost
nimepitia hiyo account yake
kweli wabongo sio watu wa sport sport wamemchana live na matusi juu,
huko arusha ajiangalie sana wanaweza kumpiga shaba bure
 
Jibu la Mwigulu halijakamilika. Alipaswa kutuambia kama yule hakuwana askari polisi. Je ni nani ?

Mkuu hawawezi kusema alikuwa ni nani ,kwa sababu wao ndio watumaji ...
Wanajua hatuna cha kuwafanya hasa aina ya Wananchi wanao tutawala..
 
Embu usiwe mfuasi wa mange kizembe namna hiyo.

Kagua picha moja moja ya huyo jamaa, halafu mlinganishe na yule jamaa wa pistol kama hata wanaendana kiumbo, huyu jamaa ana kamwili ka mazoezi, sio mwembamba kama yule mrengaji wa nape.
Kweeli kabisa Mkuu, Ndo maana tunafunzwa kuwa watu wachunguzi wa vitu kwa undani.! Sioni relation yao hao wawili hata kidogo zaidi naona politics ndani ya ukweli wa facts
 
Mwigulu, Nape, Bashite, Mtukufu na wale mashushu wabeba bastola wote lao moja..
CCM ni ile ile... Never be tempted to trust them!
 
Back
Top Bottom