Mwigulu Abuni Vazi Jipya la CCM

Filipo Lubua

JF-Expert Member
Nov 18, 2011
339
578
Baada ya kuona kombati alizoanza kutumia Mbowe CHADEMA na kisha kukubalika kwa watu wengi nchini, hasa vijana, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Kaka Mwigulu Nchemba naye ameamua kuwa muasisi wa kombati zenye rangi ya kijani na njano, lengo lake akitaka vijana wavue kaki (Gwanda) wavae nyano na kijani (gamba). Ni wazo lake jipya akifikiri itakuwa ni mbinu ya kuwateka vijana wengi ambao kiukweli wako upande wa gwanda. Sasa hata ameamua kuweka chini skafu aliyozoea kuivaa na badala yake ameamua kuning'iniza shingoni ifananayo na zile za CHADEMA. Nisiseme mengi, wenyewe mwoneni hapo chini na vazi lake:

6322_377508199022270_261174658_n.jpg
 
Mbona katibu wake Nape alishazimezea mate siku nyingi. Wanaiga hata visivyoigwa. Sisi tunataka maendeleo siyo mashindano ya urembo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Naomba kujua matumizi rasimi ya rangi ya bendera ya Taifa,kwani nahisi kwa sasa inanajisiwa na vichaa wachache,miaka 10 iliyopita ilikuwa hata kibaka akiiba akikimbilia kwenye mlingoti wenye bendera ya taifa haguswi,lakini naona leo wazinzi na majambazi wamefanya ni vazi lao rasimi
 
Afu yakwao lazima yaandikwe uvccm ili lifahamike ni gwanda. La kwetu hta bila kuandika, tayari ni gwanda.
 
Uyu kiboko chake majimbo ya pungue halafu wabunge 25 vichwa tuwapange nchini wa gwanda kila mtu atatfuta kwa kukimbili kampeni ya watu 25 ni kama coasta moja tu
 
Huyu jamaa atakuwa na damu ya kiganga(tena uganga wa kienyeji),hivi hayo manguo km mmea za alizeti,sijui yatavaliwa wapi na rangi zake mbaya hivyo.

Huyu mganga wa kienyenyeji psychopatic in nature anawapeleka CCM pabaya sana.Ushamba wake mwingine, Anaanza mambo ya wacongo na pamba za kichina Dar.
 
Nimekumbuka kilio chake kuwa wenzake wamemtelekeza kwenye kesi ya Lwakatare... LOL!
 
Baada ya kuona kombati alizoanza kutumia Mbowe CHADEMA na kisha kukubalika kwa watu wengi nchini, hasa vijana, Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Kaka Mwigulu Nchemba naye ameamua kuwa muasisi wa kombati zenye rangi ya kijani na njano, lengo lake akitaka vijana wavue kaki (Gwanda) wavae nyano na kijani (gamba). Ni wazo lake jipya akifikiri itakuwa ni mbinu ya kuwateka vijana wengi ambao kiukweli wako upande wa gwanda. Sasa hata ameamua kuweka chini skafu aliyozoea kuivaa na badala yake ameamua kuning'iniza shingoni ifananayo na zile za CHADEMA. Nisiseme mengi, wenyewe mwoneni hapo chini na vazi lake:

View attachment 96301

Siasa bana hebu muoneni huyo binti hapo aliejichubua na kuwa ka nyama nyekundu. Yaan yeye kwa akili yake anaona anamkoa dr slaa na chadema! amuulize kabour anavyojutia maamuz yake mpaka leo. Wewe unadhan ccm hawajui kuwa wewe si wao? Ila tu uko kwao kwaajili ya revange? haitaji akili kubwa ama professor kukueleza hili. Wanakutumia tu kama wanavyodhan wao ingawa mimi naamin huna effects kabisa kwenye siasa za tanzania. Watakuacha baada ya kazi yao kuisha. TIME WILL TELL
 
Vazi baya..marangi yame pangiliwa vibayaaa kama rangi zaki gasho gasho!
 
Povu lina watoka pro-CHADEMA, pilipili ya shamba ina wawashia nini?

Kama ubunifu tu wa vazi wa Mhe Mwigulu ndio una wafanya muweweseke hivi, Je, huo mchaka mchaka wake kwenye chaguzi za 2014 na 2015 si ndio mtahama nchi nyinyi?

Viva CCM via Mwigulu.
 
Kuna watu huku watakufa siku si zao wakimwona Mwigulu ni presha ina panda
 
Last edited by a moderator:
Sijui wengine lakini anachovaa Mwigulu sidhani kama kina hubiri chochote kuhusu maslahi ya jamii, labda kina umuhimu kwa wale wanaokerekwa kimaslahi ya siasa.

Kwa wengine hata akijipaka rangi ya kijani tomorrow brings the same problems unless the government is challenged by the opposition parties regarding our worries.
 
Mkuu hamna tofauti hapo gamba ni gambo no changes na kwa sasa vijana wengi sana awaipendi ccm kwanzia wanafunzi, waendesha boda boda,vinyozi wa saluni,mafundi gereji,madereva na ata wasanii wa kila fanii.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom