Miye nilishamwambia mmaa uyu jamaa ni jipu akili yake yote urais wa inchi hii uyu ndio Gaidi Sasa maana anamini kabisa urais unamfaaView attachment 1866636
Wananchi wenye mabango Tunduma mkoani Songwe wamezuia msafara wa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Mwigulu Nchemba, wakiitaka serikali kudhibiti ukusanyaji wa kodi ili kupata fedha nyingi zitakazosaidia kukamilisha miradi ya maendeleo.
My Take
Haya ni maigizo kama maigizo mengine,maigizo yenye lengo la kujipigia debe kuelekea 2025.
Mwiguli siku zake zinahesabikaView attachment 1866636
Wananchi wenye mabango Tunduma mkoani Songwe wamezuia msafara wa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Mwigulu Nchemba, wakiitaka serikali kudhibiti ukusanyaji wa kodi ili kupata fedha nyingi zitakazosaidia kukamilisha miradi ya maendeleo.
My Take
Haya ni maigizo kama maigizo mengine,maigizo yenye lengo la kujipigia debe kuelekea 2025.
Hao wananchi walitakiwa wamtamdike Mawe ya kutoshaView attachment 1866636
Wananchi wenye mabango Tunduma mkoani Songwe wamezuia msafara wa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Mwigulu Nchemba, wakiitaka serikali kudhibiti ukusanyaji wa kodi ili kupata fedha nyingi zitakazosaidia kukamilisha miradi ya maendeleo.
My Take
Haya ni maigizo kama maigizo mengine,maigizo yenye lengo la kujipigia debe kuelekea 2025.
ITV ni waongo na wamelipwa ili kuandika huu upupu, hakuna mwananchi anayeweza "kuzuia" msafara wa hivi vi-local bourgeoisie. Nasema hakuna, huu ni ujinga na kukosa weledi wa kazi zao.View attachment 1866636
Wananchi wenye mabango Tunduma mkoani Songwe wamezuia msafara wa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Mwigulu Nchemba, wakiitaka serikali kudhibiti ukusanyaji wa kodi ili kupata fedha nyingi zitakazosaidia kukamilisha miradi ya maendeleo.
My Take
Haya ni maigizo kama maigizo mengine,maigizo yenye lengo la kujipigia debe kuelekea 2025.
Povu ruksaITV ni waongo na wamelipwa ili kuandika huu upupu, hakuna mwananchi anayeweza "kuzuia" msafara wa hivi vi-local bourgeoisie. Nasema hakuna, huu ni ujinga na kukosa weledi wa kazi zao.
Huo ni mkusanyiko uliandaliwa na walivyo wajinga wanasahau kuhusu kuchukua tahadhari ya Covid 19
Maza hajangundua huyu jamaa, 2025 anachukua fomu. Ndio zake hizo . Chezea mla MaksaiView attachment 1866636
Wananchi wenye mabango Tunduma mkoani Songwe wamezuia msafara wa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Mwigulu Nchemba, wakiitaka serikali kudhibiti ukusanyaji wa kodi ili kupata fedha nyingi zitakazosaidia kukamilisha miradi ya maendeleo.
My Take
Haya ni maigizo kama maigizo mengine,maigizo yenye lengo la kujipigia debe kuelekea 2025.
Watu wa Tunduma hawawezi kushabikia upumbavu...hoa ni mapandikizi...uwezo wa kufikiri wa huyu Waziri ni wa chini sanaView attachment 1866636
Wananchi wenye mabango Tunduma mkoani Songwe wamezuia msafara wa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Mwigulu Nchemba, wakiitaka serikali kudhibiti ukusanyaji wa kodi ili kupata fedha nyingi zitakazosaidia kukamilisha miradi ya maendeleo.
My Take
Haya ni maigizo kama maigizo mengine,maigizo yenye lengo la kujipigia debe kuelekea 2025.
Sijavuka nimekuja hapa Mnanila Mara mojaPovu ruksa
Unaumia ukiwa burundi pande zipi?
Kwani lazima wewe umpe? Atapewa na watanzania wengine.Rubbish, nani ampe urais shetani, Idd Amin mkubwa
Hao wametoka Zambia au?Watu wa Tunduma hawawezi kushabikia upumbavu...hoa ni mapandikizi...uwezo wa kufikiri wa huyu Waziri ni wa chini sana
View attachment 1866636
Wananchi wenye mabango Tunduma mkoani Songwe wamezuia msafara wa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Mwigulu Nchemba, wakiitaka serikali kudhibiti ukusanyaji wa kodi ili kupata fedha nyingi zitakazosaidia kukamilisha miradi ya maendeleo.
My Take
Haya ni maigizo kama maigizo mengine,maigizo yenye lengo la kujipigia debe kuelekea 2025.
Kwamba Mh. Rais anasema tozo zipitiwe upya, waziri mkuu anasema kuna team ina shughulikia. Mwigulu ana honga watu pesa waonyeshe mabango??View attachment 1866636
Wananchi wenye mabango Tunduma mkoani Songwe wamezuia msafara wa Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Mwigulu Nchemba, wakiitaka serikali kudhibiti ukusanyaji wa kodi ili kupata fedha nyingi zitakazosaidia kukamilisha miradi ya maendeleo.
My Take
Haya ni maigizo kama maigizo mengine,maigizo yenye lengo la kujipigia debe kuelekea 2025.
Mwigulu linawaza urais tu,jitu katili Hilo Nani wakumchaguaKichekesho hiki yaani watu wajazane bila kuhofia korona ili kimuona waziri wa tozo & makato
Kama anataka kutumia hilo kusanyiko kumtisha yule mama mvaa ushungi naona hilo halitamsaidia