MWIGAMBA: Kwenye mpambano kati ya Zitto na Maalim Seif, tayari Maalim ana ‘point’ moja!

I think huu ni wivu wa watoto wa kike
Why don't you mind your own business,
Kama Zito na seif watapishana na kugombana I think hiyo ni business yao sio yako

Ww uko ccm then concentrate huko
Mmh!

Umesahau walivyogombana ccm vs lowassa, ccm vs Membe etc cdm, ACT waliongelea pia.

Siasa za Afrika zilizovyo kusema mabaya kule ulipotoka hamna cha kushangaa hapo
 
Back
Top Bottom