Mwezi wangu wa kuzaliwa huu wajameni!!!!!

Munkari

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
8,084
4,351
Hahaha nafurahaje sasa!!
Yani huu mwezi mama munkari kachokaa anakasubiria katoto kake kaqueen,angel,mbeautiful,pretty,mcute, kazuriiiii hahahaha!! (weka pichaa!!!!)

mbeby girl miye !!!!
Afu na hivi ka akaunti kanasoma weeeee!!! sijui nimpige kavitz??? Hahaha weee mwenyewe sina !!! Ngoja siku ifike jamani ka WAX si kanamtosha?loh na hii wikend mmmmhhhh patamu hapa!!!!!

LOVE YOU MY MUM!!!!!

Jirani yangu Asprin
Ndo mkata keki !!!! ladyfurahia
Atapamba ukumbi Tyta
Cameraman missneddy
Atacheza segere,

Karibuni sana kwenye mnuso!!!!! Watoto hawaruhusiwi!!!!
 
Last edited by a moderator:
hongera bestito jamani nitawahi kuja kukata hiyo keki na ssasa niko hapa naindaa vilivyo mbona hapatatosha besti heheheheheheeeeeeeeeeeiya

qq.jpg

mm.jpg
Hahaha nafurahaje sasa!!
Yani huu mwezi mama munkari kachokaa anakasubiria katoto kake kaqueen,angel,mbeautiful,pretty,mcute, kazuriiiii hahahaha!! (weka pichaa!!!!)

mbeby girl miye !!!!
Afu na hivi ka akaunti kanasoma weeeee!!! sijui nimpige kavitz??? Hahaha weee mwenyewe sina !!! Ngoja siku ifike jamani ka WAX si kanamtosha?loh na hii wikend mmmmhhhh patamu hapa!!!!!

LOVE YOU MY MUM!!!!!

Jirani yangu Asprin
Ndo mkata keki !!!! ladyfurahia
Atapamba ukumbi Tyta
Cameraman missneddy
Atacheza segere,

Karibuni sana kwenye mnuso!!!!! Watoto hawaruhusiwi!!!!
 
Hahaha nafurahaje sasa!!
Yani huu mwezi mama munkari kachokaa anakasubiria katoto kake kaqueen,angel,mbeautiful,pretty,mcute, kazuriiiii hahahaha!! (weka pichaa!!!!)

mbeby girl miye !!!!
Afu na hivi ka akaunti kanasoma weeeee!!! sijui nimpige kavitz??? Hahaha weee mwenyewe sina !!! Ngoja siku ifike jamani ka WAX si kanamtosha?loh na hii wikend mmmmhhhh patamu hapa!!!!!

LOVE YOU MY MUM!!!!!

Jirani yangu Asprin
Ndo mkata keki !!!! ladyfurahia
Atapamba ukumbi Tyta
Cameraman missneddy
Atacheza segere,

Karibuni sana kwenye mnuso!!!!! Watoto hawaruhusiwi!!!!

Usitake kuniambia umezaliwa tarehe moja na mama Matesha wangu.... Ntakuoa walllah!!

Happy birthday my dia waifu na my sweet jirani.
 
Hahaaaaaaaahaaaa fursa eeeehhh siku yenyewe bado ndo inakaribia jirani wewe tena mkatA keki!!!
 
Back
Top Bottom