toplemon
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 4,581
- 4,631
Habari wapendwa,
Mwezi huu wa sita nahitimu diploma yangu ya maendeleo ya jamii tayari nina certificate ya maendeleo ya jamii
Ninahitaji kazi yoyote ile ya ofisini iwe government au NGO's
Nataka niifanye kwa miezi 3 au minne
Hata nikilipwa laki moja au chini ya hapo ni sawa tu
Lengo langu niweze kulipa pango la nyumba na kula basi
Nipo arusha. Kiukweli sina wa kumtegemea hapa napambana mwenyewe kila kitu mwanzo mwisho
Nina miaka 21 naishi Arusha
Nitakua tayari kuianza mwezi wa ssaba tarehe 1
Yoyote yule atakayeweza kuniajiri au kunisaidia
Natanguliza shukurani,za dhati
Asanteni sana,
Mungu awabariki.