Lighton
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 881
- 1,636
We jiulze kwann unafunga ndo utajua kufunga ni hiyar au shurti.Samahani nnatoka nje ya Mada kuna kitu sijaelewa kuhusu hyo kwa resma Mimi nimuislam katika dini yetu kufunga mwez wa Ramadhan ni lazima na asilimia kubwa wanafunga na wasiofunga huwa hata kula kwao wanajificha sana lakini sijaelewa funga yenu ndugu zetu Christians je pia ni lazima au mtu akiamua tu mwenyewe kufunga akitaka hafungi.