Baraghash
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 2,713
- 1,789
Kwa wazanzibari wazalendo wanaoumwa na visiwa vyao, Mwezi wa April ni mwezi wa maafa na huzuni uliosambaratisha uhuru na Mamlaka ya watu wa Zanzibar. Mengi yamesemwa na kuandikwa lakini kwa ufupi ni KWAHERI UKOLONI,KWAHERI UHURU.
1. Tarehe 01 April ni siku ya wajinga
2. Tarehe 07 Aprili Rais wa kwanza Sheikh Abeid Amani Karume ameuwawa na Mwanajeshi wa JWTZ.
3.Tarehe 26 April Nyota ya matumaini ya wazanzibari kubaki Taifa huru na Mamlaka yake kamili ilizimwa rasmi.