Mwezi wa 4 sasa simu yangu sina picha au video yoyote ya ngono

Kwani Mungu wakati anaimba simu zilikuwepo?

Kwanza hawezi kukuuliza mambo ya simu wakati alipotuumba hazikuwepo,
Simu hakuiumba physical ila aliiumba kwenye akili ya mtu,kila kitu anachokupa angetaka tukitumie vyema na si kwa mauchafu.
 
hivi mpaka leo kuna watu wanakaa na picha za ngono kwa simu duu, mimi tangu niko secondary sijawahi kuweka hizo mambo ya simu mpaka leo na haitakaa itokee zikae kwenye simu yangu.
 
Mkuu hivi uko na mkee kweli ?

Hizo picha na video huwa unaangalia then unafanya nini next?

Aiseee
 
Nina mashaka na hiyo simu vitakuwepo vimejificha sehemu.subiri siku mupo sebleni dogo afike huko na sauti inatoka aaaaaaaah
 
Hongera ww mwenyewe ulipenda kujiunga na magroup ,umeamua kuyafuta sasa upo salama yote yanawezekana
 
Binafsi kuna group moja tu ambalo jamaa mmoja hupenda sana kutuma hizo picha za ngono, kuna wakati nili left but kwasababu za mambo ya connection nimerudi tena, ninacho kifanya huyo jamaa akituma hizo picha zake/video, nakwenda gallery then naifuta kule, ukifuta kwa gallary hadi kule kwenye group kwa upande wangu hiyo video inakua mchele mchele, baadae na yenyewe naifuta ili ku protect wajukuu zangu wanao penda kucheza game, thanks for sharing your experience brother.
 
Hahahaha mkuu hio haibadiliki kwasababu simchukii kila mtu inatokeaga tu mtu moyo unamkataa...yani mi sioni sababu hata, najiulizaga kwanini nikae nazo...nakosa sababu kabisa ndo mana nawashangaa wenye nazo
Then take it as instinct and avoid them.
 
hivi una anzaje kuwa na hizo video kwenye simu/laptop yako? hata kama simu yangu haishikwi shikiwi na watu lakin naona n kujidhalilisha kua nazo kweny simu hata kuzitama pia
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom