Mwezi wa 4 sasa simu yangu sina picha au video yoyote ya ngono

Kumbe inawezekana kwakweli namshukuru sana Mungu kwa sasa simu yangu nimeweza kukaa bila video au picha za ngono now hata watoto naweza kuwapa nyumbani wakachezea.

Dah! Mungu mwema sijui wenzangu mnaweza hali hii kukaa bila picha au video mimi nilikuwa kila nikifuta napata hii asa magroup nimetoka yoteeeee sitaki simu bila picha za ngono inawezekana kabisa.
Hongera sana mkuu,
Kwa upande wangu sijawah eka picha za ngono kwenye cm.
 
Hongera sana mkuu,
Kwa upande wangu sijawah eka picha za ngono kwenye cm.
Yeye miezi minne ameshajiona mjanja wakati kuna wengine kutokana na maadili yao hawajawahi hata kufikiria kuweka hizo takataka tangu wamezaliwa.
 
Mimi ninayo kibao,imebidi niyapitie kupunguza baadhi.ila kutokuwa nayo vigumu sana,hii ni burudani kama burudani zingine,sio dhambi
 
dah me nna mzigo wa 59GB,umetumia mbinu gani asee kuutoa mana me kama nmewekwa gundi hv hautoki
 
Kumbe inawezekana kwakweli namshukuru sana Mungu kwa sasa simu yangu nimeweza kukaa bila video au picha za ngono now hata watoto naweza kuwapa nyumbani wakachezea.

Dah! Mungu mwema sijui wenzangu mnaweza hali hii kukaa bila picha au video mimi nilikuwa kila nikifuta napata hii asa magroup nimetoka yoteeeee sitaki simu bila picha za ngono inawezekana kabisa.
Ulikuwa hauna MB, naona sasa umezipata mpaka umeweza kuingia JF, kesho nitakuona kule 'Kula tunda kimasihara'
 
Mungu aendelee kukulinda maana hayo mapicha ni mpango wa shetani wa kuharibu kizazi hiki.
Shetani ataendelea kukujaribu, tafuta mchungaji akuombee kabisa uokoke maana kazi za shetani zinavutia na zinadanganya wengi ili aweze kuwashika na kuwatesa. Ndoa nyingi zimeharibiwa na hizo picha za ngono kwa sababu zinaendeleza uhasherati na uzinifu kitu ambacho hakimpendezi Mungu.
 
🤣🤣 Hapa ndo shida inapoanzia
🤣🤣🤣🤣

Hapo ulipo nimewahi kuwepo pia, kwahiyo nazielewa pande zote mbili vizuri.
Zaidi nawaombea wengine wote wapate uongofu ingali bado wapo hai.
 
Safi kabisa, kitu ambacho wengi hatujui ni kwamba siku ya kiama hata simu zitatoa ushahidi kwa yale mabaya tunafanya nazo kwa siri,ndio maana ukiokoka unatakiwa uokoke na vyote ulivyonavyo ikiwemo simu.
Kwani Mungu wakati anaimba simu zilikuwepo?

Kwanza hawezi kukuuliza mambo ya simu wakati alipotuumba hazikuwepo,
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom